prof. janabi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Medecin

    Tangu mwaka umeanza nimeishi kama anavyotaka Prof. Janabi, leo asubuhi nimeanguka kwa njaa

    Habari za leo wakuu Mimi ni kijana wa makamo, wakati fulani nilikuwa nikimsikiliza sana Prof. Mohamed Janabi kuhusu ulaji na mtindo Bora wa maisha, awali nilikuwa nakula kutwa mara tatu sana sana vyakula vya mafuta na sukari nyingi ikiwemo ngano na ugali lakini baada ya kusikiliza ushauri wa...
  2. Waufukweni

    Mke wa Prof. Janabi alivyosimamishwa Wabunge wamuone

    Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine Ndugulile. Tukio hilo limefanyika leo Juni 2, 2025, wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma, wakati Waziri...
  3. Stephano Mgendanyi

    Cheers Prof. Janabi for WHO Afro Director Election Trust!

    Cheers Prof. Janabi for WHO Afro Director Election Trust! I ‘m humbly writing this congratulatory massage to eagerly create a lasting impression of the same on your desk! I sincerely reiterate my proudly congratulation yet, extremely welcoming the trust WHO Afro member states bestowed on...
  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yampongeza Prof. Janabi kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Pia soma News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
  5. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof. Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje?

    Pesa zilizotumika katika Kampeini ya Prof Janabi zilikuwa zinatoka wapi na zitalipwaje? Gharama za Usafiri, Hotel, Meals and accommodation, Allowance, n.k. Mbona nchi nyingine hawakutumia pesa kubwa kiasi hiki? Pia soma News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
  6. The introvert

    Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  7. meningitis

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  8. G Sam

    Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

    Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba. Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo...
  9. Megalodon

    Hii Kete ya Janabi inavosukumwa ni VEMA lakini Gharama za kuzunguka manchi yote zinatoka wapi?

    Kete ya Janabi inasukumwa kibabe sana. Suala la yeye Kushinda au Kutoshinda litabaki kwa wajumbe wenyewe na prudence yao. Hoja ya MSINGI ni jopo la JK lina watu kama 5 au saba hivi; mpaka sasa wamezunguka nchi kama saba na bado safari inasonga mbele; DHUMUNI HASA za safari hii ni KUSUKUMA KETE...
  10. Just Pray

    Prof. Janabi: Usinywe juisi, kula tunda lenyewe

    “Mara ya mwisho mimi kunywa Juisi au Soda ni Mwaka 2000. Iko hivi, kuna tofauti kubwa ya kula chungwa na kunywa juisi ya Chungwa. Nikinywa Juisi nakunywa Sukari moja kwa moja hata kama haijawekewa sukari. Mfano, ili nipate glasi moja ya Juisi ya Chungwa nahitaji Machungwa matano. Asubuhi...
  11. Just Pray

    Prof. Janabi: Kula mlo mmoja hurefusha maisha

    “Wale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi yanayosababishwa na ulaji wetu wa mara kwa mara. Ukitaka kinga ya mwili iwe juu na kurefusha...
  12. Cannabis

    Prof. Janabi hakuna mwili unaozuiwa kwa kushindwa kulipia gharama za mochwari ila ni kwa kushindwa kulipa madeni ya gharama za matibabu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema miili huzuiwa mochwari kutokana na madeni ya gharama za matibabu ambazo marehemu alikuwa akidaiwa pindi alipokuwa hai na si kushindwa gharama za mochwari.
  13. ChoiceVariable

    Nyambura Moremi angefaa kuwa WHO Africa Director Kuliko Prof. Janabi

    Ni maoni yangu lakini simjui hanijui na hatujuani ila angefaa zaidi ya Prof.Janabi 👇👇 I had the honor of officiating the first-ever training on Biosafety Cabinet Certification at the Eastern Africa Regional Centre of Excellence for Biosafety and Biosecurity, hosted by the Tanzania National...
  14. Yoda

    Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  15. Mtu Asiyejulikana

    Janabi amepandisha sana gharama za matibabu Muhimbili anaenda kuwa mshauri wa Rais? Mnataka Watanzania wafe zaidi?

    Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si kutoa huduma. Utra Sound ambayo hata mtaani unaweza piga kwa tsh 20,000 Muhimbili ni tsh 35,000. na...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Prof. Janabi: Sijanywa juisi aina yoyote takriban miaka 20

    Wakuu! Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe. ================== MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya...
  17. GENTAMYCINE

    Ni upopoma kwa mwanaume kumsaidia mpenzi au mke figo yako wakati unajua wanawake wa leo siyo waaminifu muda wowote mnaachana

    Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine. Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
  18. GENTAMYCINE

    Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya. Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni...
  19. T

    Hivi kwanini Prof. Janabi asiwe Rais wa Jamuhuri ya watu wa Tanzania?

    Jamani kama kuna wazee hili Taifa wenye kutia neno Mimi naomba mnisikilize na mtakuja sema Taifa lina manabii. Prof Janabi ni kiongozi hanijuwi simjuwi ila kwa kazi anazifanya na uzalendo wake kwa watanzania Mimi nawaomba huyu jamaa apewe form atatupeleka kuwa nchi ya maziwa na asali. Kule...
  20. BARD AI

    Prof. Janabi: Kama Mwanaume unavaa Suruali zaidi ya Size 40 na Mwanamke size 35 Afya yako iko hatarini

    Mkurugenzi huyo Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo amesema Watu wenye uzito mkubwa wanapaswa kuchukua hatua za haraka kupunguza miili kabla hawajaingia kwenye hatari ya Magonjwa Yasiyoambukiza. Amesema kasi ya ongezeko la Wagonjwa wa Figo inaonesha wazi...
Back
Top Bottom