A press conference or news conference is a media event in which newsmakers invite journalists to hear them speak and, most often, ask questions. A joint press conference instead is held between two or more talking sides.
Sijui ni nani msimamizi wa jambo hili linaloitwa press conference nchini .
Kwa maoni yangu ni kwamba kila mwenye fedha anaitisha press conference na hakuna wa kumbabaisha.
Tabia hii itakomeshwa lini?
Mwigulu punguza press, be professional, kila siku press, kila kukicha press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?
Tunajua mnajuta kwa mliyoyafanya lakini Wananchi watakuchoka sasa.
Move on!
Anachokiongea huyu Muhsin Ussi ni upumbavu mtupu kwa wakati huu tuliopo. Hii haimsaidii Rais Samia zaidi ya kuongeza hasira kwa wananchi. Yeye Muhsin anavyosema atashughulika na watakaomkwamisha Rais ni kwa kutumia mamlaka yapi aliyo nayo? Yeye ni chombo cha dola? Muhsin ajue hata wanaCCM wengi...
Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana.
Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth!
Lakini kwa vile...
LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI.
CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!!
Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA.
Mh Polepole...
Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo
Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari.
Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe.
Nimemaliza nazima data
Hata
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu?
Halafu nikiwaambia hamna Akili...
Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.
Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.
Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.
Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni...
Salaam!
Jambo lenye maslah mapana ya nchi ni vyema kuliadress hadharani mbele ya umma Ili ujumbe ufike kote.
Hii dhana ya kushauri sirini Kisha ushauri ukapuuzwa, ndio sababu hasa ya viongozi, wazee kutoka hadharani kukemea. Nia na dhamira ya kukemea hadharani hulenga na wengine wajifunze...
Mandela nyakati fulani aliwahi sema Makabulu lugha walio kuwa wanaielewa vyema ilikuwa ni ya Lisasi tu. Hizo Lugha zingine walikuwa hawazielewi na zilikuwa haziwaingii kabisa.
Na Wazulu walivyo kuwa wanapambana na Makabulu kwa Bunduki angalau kuna wakati Makabulu walikuwa wanaelewa lugha hio...
Everybody with less than Tshs 100,000 can convene the so called a "press conference'
Do we have a stipulated standards of what we can account as a "press conference" ???
If we do ...what are the standards?? should one day I as jingalao call the dunderheads from tiktok and give them 30,000...
Kuna watu wamekaa kiti cha mbele na wanaamini kwamba Lisu kwa sababu ana ongea sana maneno makari sana basi watawala watatishika sana au atakuwa anatoa press conference kari kari na CCM watatishika sana.
Hio haipo na haijawahi tokea Duniani labda ianzie Tanzania kwa mara ya kwanza. ni sawa na...
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine
1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO
2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni kwa kiasi gani jeshi la Marekani lingejitanua
3. "Moscow imekuwa ikisema mara kwa mara, hata kabla...
John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi.
Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X.
Soma zaidi...
Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora.
Lakini nilichoona ni kipaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.