posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini sanamu ya askari iliyopo Posta jijini Dar imeelekea baharini?

    Wadau naomba kujua kwanini sanamu ya askari pale posta inaelekea baharini na je inamaanisha nini?
  3. JamiiForums Tanzania Nimeona bendera za Taifa nusu mlingoti maeneo ya round about za Posta, kulikoni?

    Habari wana JF kama kichwa cha bandiko kinavyosomeka kulikoni bendera nusu mlingoti?
  4. JamiiForums Tanzania TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Askari wa usalama aliyevaa kiraia akielekeza magari kwa makini mtaa wa posta mpya Dar es Salaam

    Yupo makini kwa kazi yake
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

    Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi? Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
  7. JamiiForums Tanzania Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

    Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu? Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Posta muwe kinara utekelezaji wa anwani za makazi na postikodi nchi nzima

    POSTA MUWE KINARA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI NCHI NZIMA ◊ Anwani za Makazi ni Msingi wa Posta ya Kidijitali Prisca Ulomi na Loema Joseph, Dodoma Serikali imelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuwa kinara na kuongoza jukumu la utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi...
  9. JamiiForums Tanzania Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Habari za muda wakuu. Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka. iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaosema tafuta hela kila Post

    Ni hivi kila mtu anayepost kaumizwa na mapenzi wadau wanasema atafute hela, mie nauliza hizo hela inatakiwa ziwe kiasi gani?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani

    Kikao cha Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (Universal Postal Union Postal Operations Council) kimeendelea leo tarehe 24 Novemba,2021 jijini Berne,Uswis ambapo Tanzania Imeongoza kikao cha Kamati namba mbili ya Baraza hilo inayohusu Huduma za Posta na Biashara Mtandao (Physical...
  14. JamiiForums Tanzania Posta yashiriki kumbukumbu ya mashujaa wa vita ya kwanza ya dunia

    Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta Tanzania Ndg. Constantine Kasese amehudhuria tukio la kuweka mashada katika makaburi ya Mashujaa waliopigana vita ya kwanza ya dunia kati ya mwaka 1914-1918 kama ishara ya kuwaenzi mashujaa hao,ijulikanayo kama #Layingwreathceremony#...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  16. JamiiForums Tanzania Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Umoja wa Posta Afrika (PAPU) awasili jijini Dodoma

    KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica Uwera Ssengooba kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Siku Posta Duniani yatakayofanyika tarehe 9...
  18. JamiiForums Tanzania Mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisiizidi Vodacom na Airtel au kwanini Posta lisiwe zaidi ya DHL

    Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast atembelea Posta Tanzania

    MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania 'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…