Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.
Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
Kama mnakumbuka 2016 mheshimiwa Tundu Lissu Rais wa awamu YA 7 alianzisha hili neno uchwara Kwa kumuita dikteta uchwara.
Na sasa hivi askofu wa kanisa la uzima na ufufuo ndugu Josephat Gwajima Kaja na ponjoro.
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema:
"Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani iliyopo Bunju - Kinondoni jijini Dar es Salaam kumesababisha baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa sakafuni, jambo linalowakosesha utulivu.
Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani jijini Dar es Salaam imefanya...
Mpo Pouuwa!
Kwa mara ya kwanza jina Ponjoro nililisikia miaka hiyo ya 90 huko kijijini kwetu. Kulikuwa na chotara wa kiarabu na Kiswahili. Lugha ya mtaani ya kuwadhihaki watoto wa aina hii ilikuwa Kuwaita Muarabu Koko au Ponjoro.
Sio majina mazuri Kwa sababu yule kijana na Bibi mlezi hawakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.