Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Almachius Mchunguzi, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Tanga kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, akibainisha kuwa hakuna tishio lolote la amani...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limesema litaendelea kushirikiana na waandishi wa habari,ikiwemo kuangalia usalama wao wanapokuwa kazini hasa kwa muda huu wa uchaguzi.
Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi kwenye mdahalo wa ulinzi na usalama kwa waandishi wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa sababu ya kuendelea kumshikilia bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo (29), anaetuhumiwa kumshambulia mkazi wa jijini Tanga Mussa Ally akimtuhumu kuwa ni mwizi.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Jumatatu Machi 10,2025, Kamanda wa Polisi...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ya ridhaa yake.
Mwakinyo anashikiliwa na jeshi hilo tangu jana...
Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.
Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.