police

The police are a constituted body of persons empowered by a state to enforce the law, to protect the lives, liberty and possessions of citizens, and to prevent crime and civil disorder. Their lawful powers include arrest and the legitimized use of force. The term is most commonly associated with the police forces of a sovereign state that are authorized to exercise the police power of that state within a defined legal or territorial area of responsibility. Police forces are often defined as being separate from the military and other organizations involved in the defense of the state against foreign aggressors; however, gendarmerie are military units charged with civil policing. Police forces are usually public sector services, funded through taxes.
Law enforcement is only part of policing activity. Policing has included an array of activities in different situations, but the predominant ones are concerned with the preservation of order. In some societies, in the late 18th and early 19th centuries, these developed within the context of maintaining the class system and the protection of private property. Police forces have become ubiquitous in modern societies. Nevertheless, their role can be controversial, as some are involved to varying degrees in corruption, police brutality and the enforcement of authoritarian rule.
A police force may also be referred to as a police department, police service, constabulary, gendarmerie, crime prevention, protective services, law enforcement agency, civil guard or civic guard. Members may be referred to as police officers, troopers, sheriffs, constables, rangers, peace officers or civic/civil guards. Ireland differs from other English-speaking countries by using the Irish language terms Garda (singular) and Gardaí (plural), for both the national police force and its members. The word "police" is the most universal and similar terms can be seen in many non-English speaking countries.Numerous slang terms exist for the police. Many slang terms for police officers are decades or centuries old with lost etymology. One of the oldest, "cop", has largely lost its slang connotations and become a common colloquial term used both by the public and police officers to refer to their profession.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hata Polisi wanachukizwa na mfumo wa CCM

    Inawezekana Polisi na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais .. Ila deep down hata wenyewe police hawapendi namna mambo yanavyo enda Kwa Sasa .. Kazi yao ni kufwata oda tu kutoka juu ...
  2. JamiiForums Tanzania Mwamposa na escort ya police

    Nilikutana na msafara wa Nabii Mwamposa ukitoka kanisani kwake pale kawe.. Msafara ulikuwa na Escort ya police tena wenye bunduki . Sasa nikajuliza police na bunduki za Nini, juu ya Nabiii mwamposa, wakati yeye ni mtumishi wa mungu, kama swala la ulinzi, Kwani yeye si analindwa na Damu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Police mnapo sema I am Not your friend My friend Huwa mnamaanidha Nini?

    Nikweli Mimi siyo mzungu lakini pamoja na kuwa lugha ya malikia sio yetu ni sawa. Sasa inakuwaje police mnapokuwa una deal na mtu Huwa mnapenda sana kutumia hili neno "I'm not your friend My friend " Tena mkiwa na ujasiri kabisa hata ukiwa mbele ya mkuu wako wa kituo. Tuambieni labda ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mtanzania akimkimbia traffic police Zimbabwe katika harakati za kuingia South Africa

    Watanzania tunatia huruma Sana ukiiona video hii ni aibu we mtu anakimbilia porini hata hajali huko porini atakutana na nini. JIANDAE KUKUTANA NA HAYA KAMA UTAHAMIA NCHI ZA WATU BILA PASIPOTI UTAISHI KAMA DIGI DIGI Papers ni za muhimu Sana kwenye nchi za watu tusihamie kienyeji sana Ona huyu
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

    Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

    Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini. Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa Vizuizi wameyatimba Madambwe yameondolewa Kibaha - Mlandizi.

    Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
  10. JamiiForums Tanzania Mazen Ahmad Mkuu wa Police wa Hamas, Auawa na Majeshi ya Israel

    Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun. Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina. Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Soma Hapa Ujumbe Mzito Na wa Kizalendo Kutoka Kwa Jeshi La Polisi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia uimara ,weledi ,uzalendo ,utayari, ushupavu, umadhubuti,umakini na uhodari wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Msione watu wanalala kwa usalama huku milango wakiwa wameweka tu misumari kama komeo na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

    Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa TAFAKURI: Kwa nini Jeshi la Polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

    Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha...
  15. JamiiForums Tanzania GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

    Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Ione haja ya kufanya promotion kwa wafanyakazi wa Umma haswa wanaoonesha utofauti katika kazi zao kama ilivyo kwa wanajeshi na Polise

    Ni muda Sasa nimekuwa nikiona baadhi ya Askari wakipata promotion ya vyeo pale wanapoonesha utendakazi wa tofauti wenye tija maeneo ya kazi zao na kwa jamii. Kwanini tusifanye hivyo pia kwa watumishi wengine kama vile Madaktari, Manesi, watendaji wa kata na vijiji, maafisa wengine na walimu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Police officers, please stop being misused by CCM

    All the demands raised by the common citizens are for betterment of everybody in the country, including the police officers and their relatives. Thus, the outcry of any citizen should not be sidelined by anyone. In this country the police officers are the agents of force and not services. For...
  18. JamiiForums Tanzania Police Mliyofanya Mbeya/ Iringa Ndio Kaburi la CCM?

    Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo. Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata wanachama wa ccm wasio na nyazifa wanalaani ujinga huo ambao ni dhahiri umeanzia huko CCM
  19. JamiiForums Tanzania Is this the next IGP? Get to know Commissioner Awadhi Juma Haji, who oversees Police Operations

    One of the most senior officers in the Tanzania Police Force is now under scrutiny for alleged police brutality against opposition members. Commissioner of Police Awadhi Juma Haji, who oversees operations and training, has come into the public spotlight following accusations of police violence...
  20. JamiiForums Tanzania Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…