polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole aendelea kuibomoa CCM. Asema 'Huwezi kuridhiana na mwizi'

    Najua CCM ni wachafu ila sijawahi kujua kuwa kumbe ni wachafu kiasi hiki, huyu hapa Humphrey Polopole.... https://www.youtube.com/watch?v=_bT19_syqfY
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
  3. JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  4. JamiiForums Tanzania Je, Polepole ni tapeli ?

    Hazungumzii kabisa reforms Hazungumzii kesi fake ya uhaini ya Tundu Lissu Hagusii utekaji na wapinzani kuteswa mpaka hapo kafanya press mbili hajataja hata jina moja la mpinzani aliyewai tekwa na kupotezwa ameshindwa kumpa pole hata Father Kitima .? Hazungumzii uyo mgombea urais mpya anayemta...
  5. JamiiForums Tanzania Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

  6. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  7. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Polepole: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?

    Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma? Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
  9. JamiiForums Tanzania Waandishi waliomuhoji ndg. H. Polepole ni wapuuzi , walidhihirisha ufinyu wa fikra za watanzania wengi

    Kulikua na maswali mengi mazuri ya kumuhoji ndg polepole ila waandishi walituangusha hasahasa yule zungu. Nimesikitika sana
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Polepole kumsema Rais vibaya siyo Miiko wa Maadili

    Msanii na mwanaharakati maarufu, Steve Nyerere, amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Steve Nyerere amesema kauli za Polepole hazioneshi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa sana na Uamuzi wa Chama changu cha Mapinduzi na Serikali yake Kutomjibu Humphrey Polepole

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli CCM itabakia kuwa chama kiongozi Barani Afrika, itabakia kuwa chama chenye heshima na kuheshimika Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake. CCM itabakia kuwa chama cha kuigwa Barani Afrika,itabakia kuwa chama kisichoyumbishwa wala kuyumba. Uimara...
  12. JamiiForums Tanzania Mh Polepole yupo Sahihi, Bararabara ya Mwanza -Musoma , tangu 2021 inajengwa na Kufumuliwa ! TANROAD Kwa Ufisadi imekithiri ! Serikali imelala

    Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli. Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?. Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

    Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia. Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea. Nachokiona ni kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole, siku ukikaa kimya kabisa si watu watasema uko kimya? au wanafiki watasema umetekwa kumbe uko zako bafuni umejificha

    Nawaza kama pole pole akiacha kuongea kwa zaidi ya miaka kumi akiwa kwenye mashimo yake aliyojificha, wahuni wenzake watazusha katekwa. Kumbe kakaa kimya tu. Ni sawa na panya, anaishi kwenye mashimo, mvua ikinyesha maji yakajaa kwenye mashimo, ndio kwisha habari yake
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole na wahuni wenzako, serikali haiwezi kuangushwa kwa press zenu za vichochoroni. Wakati wenu wa propaganda za kijinga ulishakwisha.

    17 Machi 2021 Mungu mwenyewe akaamua amalize utata. Kwakuwa 2015-2021 mlizuia wapinzani kufungua vinywa hadharani na baadaye hata kwenye vikao vya ndani vya upinzani mlituma polisi ku arrest na kuvuruga mikutano. Hatujasahau. 2015 - 2021 serikali yenu ya viwanda zaidi ya elfu 30 iliuhadaa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Balile amekacha press ya Polepole bila kutoa taarifa. Nilisema huyu ni chawa anatetea tumbo lake

    Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!. Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole asiendelee kupuuzwa na CCM, nati kichwani mwake zilishafyatuka, atimuliwa kwenye chama haraka

    Huyu Humphrey Polepole ambaye sasa ni mzee wa miaka 55 kuna kitu kwenye akili yake kichwani hakiko sawa. Hata mwonekano wako wa usoni (facial appearance) na mood yake ikilinganishwa na thinking logic capacity ya anayoyaongelea mtu yeyote mwenye werevu wa psychology, psychology and psychiatry...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mwoga, anauma anapuliza na ana ka woga fulani kuwasema wazi wazi wahuni

    Ni mwoga kusema ukweli unao uma na kuchoma kwa walio madarakani.......anajaribu kuwachma na anapuliza kwa mbali. Nilitegemea aseme UKWELI kama Lisu anavyosema hii ni black and this is white and there is no blending of these two colours! Finally anamlinda sana Magufuli na uchafu uliokithiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…