pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

    Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
  2. JamiiForums Tanzania Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Salaam wanajukwaa, Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…