piga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  2. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  3. JamiiForums Tanzania PIGA KURA: Ni kiongozi gani unayemwona anafaa kuaminiwa na Watanzania kuwa Rais wa 2030/2035?

    Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 unahitaji viongozi wenye kuendeleza maono, uadilifu na uwezo wa kuendeleza maendeleo ya Taifa ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, hususan katika sekta zifuatazo: Elimu bora, jumuishi na yenye kuendana na mahitaji ya maendeleo endelevu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Stories of change 2026; piga kura yako hapa

    Usuli Shindano la stories of change lilianzishwa na JamiiForums mnamo mwaka wa 2021 na kufanyika mfululizo kila mwaka hadi mwaka 2024. Katika hali isiyotarajiwa na wanachama wote wa JF, mwaka wa 2025 shindano hili halikufanyika kabisa. Kama mnavyofahamu, shindano hili hufuatiwa na uchambuzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wewe mtia nia akikatwa unafurahi ama unachukia? Piga kura

    Haya tupate maoni yako
  7. JamiiForums Tanzania No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

    Habari za jumapili; Kuna mgongano wa makundi mawili; Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi? Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini. Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  9. JamiiForums Tanzania KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Umtakaye kaenguliwa piga Kura ya HAPANA

    CCM wamedhania kuengua wagombea na sasa kujitapa kuwa Wapinzani hawajaweka wagombea wa kutosha kama CCM ndio ujanja. Kutokupiga kura ni kuihalalishia ushindi CCM hivyo njia sahihi ni wapinzani na wale wote wanaojitambua kupiga kura ya kuwakataa ya HAPANA kwa wingi sana hadi wajue pamoja na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  13. JamiiForums Tanzania Piga Kura: Nchi gani itashinda EURO 2024?

    Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
  14. JamiiForums Tanzania Piga kura mechi ya Yanga iliyokusisimua haswa ndani ya msimu wa 2023/2024

    Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi kuliko siku zingine zote ndani ya msimu huu wa 2023/2024?
  15. JamiiForums Tanzania Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

    BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa. Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League Finali leo na kwa nini?
  16. JamiiForums Tanzania Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

    Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
  17. JamiiForums Tanzania Piga Kura

  18. JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  19. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Tozo la Kodi ya Miamala ibaki, iondolewe au ipunguzwe?

    Tupige kura ili kujua Watanzania tunataka nini kuhusu kodi hii mpya ya miamala
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…