picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

    Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
  3. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Picha Kutoka Mbali Katika Historia ya TANU Moshi Mjini

    Limekuwa jambo la kawaida sana siku hizi wasomaji wangu kuniletea taarifa nyingi ambazo wao wanazo katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Taarifa nyingine pamoja na picha zinatoka kutoka familia za wapigania uhuru ambao historia imewasahau. Leo nimepokea picha ambazo kwa hakika...
  4. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Kitanda cha Chawa

    Anaupiga mwingi, kazi ziendeleeee!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  8. JamiiForums Tanzania TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Miradi ya maana Dubai

    Usijiulize kwanini wa bongo wengi sana kwa sasa nchi yao ya future kwenye biashara ni Dubai city Ona midude hiyo.
  10. JamiiForums Tanzania Picha ya Siku: Nature Vs Artificial

  11. T

    JamiiForums Tanzania PICHA: Korodani zangu zinateketea vibaya mno

    Wakuu kama ni usafi huwa najisugua hadi damu, hadi majeraha, kama ni boxa ninazo zaidi ya 10, usafi nazinagtia. Naombeni msaada kama una dawa au unafahamu dawa, Hapa chini nimeambatanisha dawa zote nilizopewa nazotumia kutoka kwa madaktari lakini hakuna ahueni Post in thread 'Fangasi za pumbu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

    Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko? Wadau hamjamboni nyote? Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Katazo la upigaji picha

    Mwenendo wa taasisi za serikali na hata sekta binafsi zinavyokataza wananchi kupiga picha ama kuchukua video maeneo yenye kasoro ama kurekodi utendaji wa watumishi wa umma usio endana na maadili , lengo hasa la katazo hili huwa nini? Unaweza ukaenda kwa mfano, muhimbili utakutana kabisa na...
  14. JamiiForums Tanzania Picha zimefutika kwenye locked folder la google photos. Nawezaje kuzipata?

    Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja. Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  16. JamiiForums Tanzania Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  17. JamiiForums Tanzania Picha Kali

    Hii ni miongoni mwa picha ninazo zipenda sana kwenye simu yangu.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐Ÿ“ ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š. "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐Ÿ“ ๐ญ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐›๐จ๐ฏ๐ฎ" ๐Ÿ.๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ข๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐ฃ๐ž & ๐ง๐๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐š ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข" ๐Ÿ‘. ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐Ÿ๐ข๐ค๐š ๐ซ๐จ๐›๐จ ๐Ÿ๐š๐ข๐ง๐š๐ฅ๐ข ๐‚๐€๐… ๐ฐ๐š๐ง๐ ๐ž๐ฌ๐ž๐ฆ๐š "๐Š๐ฎ๐ฅ๐ž ๐‚๐€๐… ๐ก๐š๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐›๐ž๐›๐š๐ง๐š" ๐Ÿ’. ๐–๐š๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ž๐ฉ๐ž๐ฐ๐š ๐ฉ๐ž๐ง๐š๐ญ๐ข ๐Ÿ–...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Wafuatao ni samaki tunaowapata sana hasa ukanda huu wa Lindi beach

    Mnaoishi bara Poleni sio kidogo endeleeni kutunyima protein ya nyamaPori, senene na kumbikumbi. Tunaokaa pwani ya Bahari Hindi tunaendelea kufaidi sea food. Kibua-huyu najua maarufu sana hasa Kwa dar Changu-huyu Lindi na Mtwara Kwa wingi Lupapa Chewa - huyu wa supu kabisa moja ya samaki mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood. Maana nilikuta picha kama kumi za dada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ