Philip Isdor Mpango (born 14 July 1957) is a Tanzanian economist and politician who serves as the Vice-President of the United Republic of Tanzania. He was sworn into office on 31 March 2021, following unanimous consent of the Tanzanian Parliament, and having been nominated by President Samia Suluhu on 30 March 2021. Before that, he served as the Minister of Finance and Planning in the Tanzanian Cabinet, from March 2015 until 30 March 2021.
Tupe ukweli maana hii kitu nimeikuta inajadiliwa pahala.
Kuwa ulipima mzani ukaona hawa jamaa sio wa kufanya nao kazi. Yaani CCM hii.
Kwa nini uliacha kujiuzuru na ukaensldele na hawa watu?
Ili hali inasemekana ulishawajua kuwa hafawai!
Makamu wa Rais mstaafu ndugu Philip Mpango aliona mbali sana , kwa hofu ya Mungu na maono aliyopata akaona ni heri apumzike kuliko kushiriki dhambi ambazo zingekuja kumtesa yeye na kizazi chake milele na milele.
Pia kitendo chake cha ushujaa cha kujihudhuru kimemlindia yeye heshima kwa kiasi...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi alikuwa mgombea mwenza
Mpango alikuwa rais makamu
Kasim alikuwa waziri mkuu
Walikuwa ni viongozi wakubwa sana
Lakin kwa nini hawahusishwi kabisa na haya mauaji?
Kwanini wanawekwa pemben
Kwanini wachambuzi wanawaweka pembeni watu...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata.
Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa.
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM.
Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa.
Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi.
Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani.
Hii...
Nadhani wangemuaga na Majaliwa tu naye akapumzike
===
Mheshimiwa Spika, nikiwa naelekea kuhitimisha hotuba yangu, napenda kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa weledi wake katika kuendelea kumsaidia na kumshauri Mheshimiwa Rais...
Sisi wakazi wa Chanika kwa sasa tunapata taabu Sana kwa barabara yetu Kutokea Kona ya Pugu kuelekea Chanika.
Barabara hii ilikuwa inaangaliwa mara kwa mara wakati Makamu wa Rais alipokuwa akipita mara kwa mara kwenda kuangalia familia yake.
Kwa sasa kiongozi huyo hapiti na hakuna matengenezo...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani na kuwaambia kuwa hana wasi wasi juu ya nani wanenda...
WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
"Napenda niwahakikishie watanzania na wapenda amani na usalama kuwa tayari serikali kupitia Wizara ya Mambo ya ndani imeviagiza vyombo vya dola kuwatafuta, kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria waliohusika na tukio hili na wale wote watakaothibitika kujihusisha na matukio kama haya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.
Dkt. Mpango katika maadhimisho ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Baba Mtakatifu Francisko ambapo Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 Mei...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.
Makamu wa Rais ametoa rai hiyo mara baada ya kushiriki...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.
Mpango amesema Serikali ya...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo.
Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu katika familia na wakili wa Mwenyezi Mungu hapa duniani.
Dkt Mpango ameyasema wakati wa ibada ya misa...
Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako.
Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.