peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nilienda CCM kutokana na Uongozi uliokuwepo CHADEMA ulikuwa unakiuka Misingi ya Demokrasia

    Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?" Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..." Edwin Odemba: "Uliwezaje sasa kwenda mahali ambapo in a way was no, in a way was yes?" Peter Msigwa: "Nilienda...
  2. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Msigwa alikuwa anasubiri kupata ukuu wa wilaya akaona hauji

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali. Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Mauaji ya Oktoba 29 ni ya kihistoria, kuna maiti hazijaonekani, kuna maiti hazikuzikwa

    "Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna maiti hazikuzikwa, kuna watu wengine walienda Mochwari wakiwa hai, kuna mambo ya ajabu ya hovyo...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: CCM haiwezi kushinda tena Uchaguzi kwa ushawishi wa hoja, wameacha dola iwafanyie Siasa

    "CCM inabidi wajitafakari. Kwa mtazamo wangu sioni kama wana future nzuri kisiasa. Kwa sababu CCM wameacha kufanya siasa, wameacha dola iwafanyie siasa. CCM haiwezi kushinda uchaguzi tena kwa ushawishi wa hoja. Bila dola, CCM haiwezi kufanya nini? Kushinda. na hii yote kwa sababu hamna watu...
  6. JamiiForums Tanzania Msigwa: CHADEMA hakuna hela, Pesa na vyeo viko CCM. Ningetaka cheo, ningeamua niwe napiga makofi "Mama kaupiga mwingi"

    "Nimekuwa waziri kivuli wizara ya mambo ya nje, maliasili, kilimo. Kwa hiyo I know namna gani serikali inafanya kazi. Sasa, lakini kama haitoshi, wakati ule nafanya kazi tuko CHADEMA anaingia marehemu Magufuli, ambaye kwa namna fulani alikuwa tuna uhusiano naye, alinipa offer kubwa sana...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

    Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona...
  8. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: CHADEMA ya sasa ndiyo chama cha upinzani kweli kweli, CHADEMA iliyopita tulikuwa tunapiga fix tu

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Msajili wa vyama vya siasa ana matatizo, hayupo kwa maslahi ya Taifa

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Mvutano kati ya Msajili na Chadema haujanza leo. Lakini tukiwa wakweli ambao, hatupepesi macho, na tunalipenda taifa kuliko vyama vyetu vya kisiasa itikadi; nadhani Msajili hayuko sawa, mizani haija—balance. Kwa sababu maneno...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Msigwa: Nilitishiwa nikiondoka CCM watanimaliza! Kuua watoto wetu, kuwachinja halafu niendelee kusema 'Idumu CCM'?

    "Hatuwezi kuwa na taifa ambalo halitaki ukosowaji, halitaki uwajibikaji yaani siku hizi Tanzania ukikosoa ni kosa yaani. Yaani ukikosoa wanaona huyu ni msaliti, huyu anafanya nini, eeh, kosa! Tayari unaona unaogopa watu wasijulikane." "Haya maamuzi niliyoyafanya sio madogo. Nilitishiwa na watu...
  11. JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

    Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa - Ulinzi wa Taifa si kulinda mipaka pekee

    Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee. Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa. Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa: Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Huwezi kutumia Risasi Kuonya Vijana

    "Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyoosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi inashindwa, naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe eagle (tai). Sasa... hii dunia tunaishi mara moja, kwa nini uishi kwa kujisuffocate? Lakini cha pili...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Msigwa: Mtoto wangu aliniuliza kama angeuawa Oktoba 29, ningeendelea kusema idumu CCM?

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa kupitia kituo cha Redio cha Nuru FM, amesema; "Mimi ni mtu wa kusema haki, mimi ni mtu wa kunyosha maelezo, mtu wa kusema ukweli. Sasa kuna vitu ambavyo naona nikiwa upande huu, ile umimi nashindwa. Naanza kuwa bata wakati natakiwa niwe tai. Sasa hii dunia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Peter Msigwa: Kama ungekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya ungerudi CHADEMA?

    You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure. Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM? NAOMBA jibu Mchungaji Peter Msigwa Soma pia Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna machawa na vijana wa CCM wameanza kumshambulia Msigwa. CHADEMA kataeni hayo maneno, Msigwa ni hazina

    Kijana ambaye ni Chawa wa CCM, Kijana anayekula kwa Pesa za CCM, huyu hawezi kukushauri lolote kuhusu PETER MSIGWA. Mbona hawakusema kuhusu SELASINI?. Kwann Msigwa kurejea CHADEMA imekua Nongwa??. Ukweli ni kua kuanzia Samia mpaka Mwenyekiti wa Kijiji chake wanajua PETER MSIGWA NI AKILI ZA...
  18. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  19. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

    Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…