Heshima yako mkuu Dr. Mwigulu Nchemba,
Nimeona hii post:
https://www.instagram.com/reel/DTfqcDJDJox/
Naomba tambua kuwa:
PCCB wanajua, TISS wanajua na kwa taarifa yako - cha kuwafanya wahusika ndo hakuna.
Ni mtandao mpana sana. Mtandao huu wa Wizi wa Pesa za Umma umejichimbia mizizi na...
Kwa lugha lainishi kuna hadithi kwamba viongozi ni warafi wa madaraka ndo maana hawataki kuachia nafasi. Mimi nasema HAPANA! Siyo madaraka, tatizo kubwa ni wizi wa pesa na mali ya umma uliofanywa na unaofanywa na viongozi wa CCM. Mawaziri wamekuwa ni wezi wa mali ya umma, Rais ni mwizi wa mali...
Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi.
Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi nne ya bei halisi ya ndege hizo sokoni.
Kwa mfano, ndege maarufu kama Air Tractor au Thrush...
Katika miaka ya karibuni, halmashauri nyingi nchini Tanzania zimeanza kuanzisha shule za serikali zinazotumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza maarufu kama “English Medium Schools.” Lengo likiwa kuongeza ubora wa elimu, kutoa ushindani kwa shule binafsi, lakini pia...
Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa
-chakula bora,
-maji safi,
-huduma za afya,
-elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k
Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu.
Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani.
Msukuma hovyo kabisa...
Bunge hili ni lile ambalo...
Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya.
Tanzania imepatwa na...
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri.
Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy?
Mkuu wa Mkoa anaweza vipi tatua tatizo la aJira Mkoami kwake? Ana bajeti?
Ni vipi huduma mbovu za Afya ziatatuliwa...
Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono.
Pia soma
Hakuna Rais aliyekuwa...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
Habari wakuu wa JF,
Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.
Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa Motisha ya kulipa Kodi kwa Wawekezaji na Wafanyabiashara ambao huchangia asilimia kubwa ya pato la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.