Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada.
Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
Habari wadau,
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council.
Watu wanalalamika hawalipwi
Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya kujikimu ila hajalipwa hivyo kageuka ombaomba kila siku wakati kuna haki yake imeminywa na hapewi majibu...
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!
Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
mpya
pesapesazakujikimu
ushetu
wakali
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajira
ajira mpya
hii
idara
idara ya afya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesapesazakujikimu
post
watumishi
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025.
Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu.
Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
kujikimu
majibu
mpya
pesapesazakujikimu
sahihi
sekondari
walimu
Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti.
Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
Anonymous
Thread
kujikimu
mamlaka
mpya
ndege
pesapesazakujikimu
taa
tanzania
viwanja
viwanja vya ndege
viwanja vya ndege tanzania
Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze.
Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa.
Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
Anonymous
Thread
chalinze
halmashauri
halmashauri ya chalinze
hatujapewa pesa ya kujikimu
hela
hii
kero
kitu
kujikimu
labda
mara
pesapesa ya kujikimupesazakujikimu
sio
tena
watumishi
wilaya
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:-
Degree 170k *7
Diploma 150k*7
Certificate 100k*7...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
habari
halmashauri
kagera
kujikimu
mkoa
mkoa wa kagera
mpya
muleba
mwezi
ndugu
pamoja
pesapesazakujikimu
wenzake
wilaya
yangu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikuu cha Dar es Salaam UDSM kampasi kuu ya mwalimu Nyerere Dsm.
Kwasasa kuna changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za kujikimu (meals and accomodations) maarufu kama BOOM.
Kwa kawaida pesa hii huingia baada ya wiki nne za...
Anonymous
Thread
pesazakujikimu
ucheleweshaji
udsm
wanafunzi
wanafunzi wa chuo
Habari ndugu zangu.?
Naomba ufafanuzi mwenye kujua, inakuaje mtu umepata ajira hizi za utumishi kada ya ualimu toka mwezi wa 3, barua zako za mikataba serikalini zinasoma tar 17 na tar 18 mwezi wa 3.
Unapewa week 2 za kujiandaa inamaana utarudi tar 02/04. Kabla ya kurudi maafisa utumishi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi.
Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024.
Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha.
Tumetumia gharama kubwa sana kuanzia kwenye usaili, na mchakato mzima wa kuripoti kazini.
Tunaomba serikali ifanyie kazi hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.