Katika pitapita zangu nikakutana na duka moja la perfume na vipodozi , nikaingia kwaajil ya kuchukua mahitaji yang , sasa kuangaza nikaona perfume ya Hugo boss na bleu de chanel nikaomba anitolee kwaajil ya kuzikagua maaana mzigo wa Hugo boss nasikia ni bei mbaya sasa nikangalia unanukia poa lkn...