perfume

Perfume (UK: , US: ; French: parfum) is a mixture of fragrant essential oils or aroma compounds, fixatives and solvents, used to give the human body, animals, food, objects, and living-spaces an agreeable scent.
It is usually in liquid form and used to give a pleasant scent to a person's body.
Ancient texts and archaeological excavations show the use of perfumes in some of the earliest human civilizations. Modern perfumery began in the late 19th century with the commercial synthesis of aroma compounds such as vanillin or coumarin, which allowed for the composition of perfumes with smells previously unattainable solely from natural aromatics alone.

View More On Wikipedia.org
  1. Abraham Lincolnn

    Umeunguza mboga badala ya kuzima moto unapuliza perfume kuzuia harufu isisambae

    Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe umejutia na udhamirie kuziacha, na kama kutakuwa na malipizi itakupasa kukamilisha kwa ajili ya ondoleo...
  2. M

    Ni Perfume gani nzuri for men ambayo haizidi shilingi elfu 70

    Habari zenu humu ndani. Nahitaji ushauri wa perfume nzuri ambayo haizidi bajeti ya elf 70
  3. The Burning Spear

    Kuna Vidume wanapiga perfume za harufu kali hadi Kero

    GT Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana. Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa huyo mtu akusogelee hatari tupu akikaa sehemu atacha harufu ya marashi yake hata siku nzima...
  4. Mwachiluwi

    Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Helll Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000 Hii ya pili...
  5. screpa

    Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  6. kyagata

    Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  7. R

    Nina perfume nzuri sana bei mserereko hutojutia

    Perfume nzuri za Dubai nicheki au tutembelee sinza karibu na wanyama hotel 0769618684
  8. mimi mtakatifu

    Nazitafuta sana hizi perfume. Wapi nitazipata kwa DSM?

    Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi. 1. Al Rehab Avenue 2. Al Rehab Silver 3. Rasasi La Yuqawam
  9. Rorscharch

    Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Saa 12 asubuhi, mtu kashuka kitandani, hajafikiria maji wala sabuni, lakini tayari yuko kwenye daladala. Jamani, unajua ananuka kama amegaragara na mwanamke halafu akaamua kwenda moja kwa moja kazini? Hakuna hata sekunde ya kufikiria kuwa wenzako pia wanapumua? Najua wanaume hatupaswi...
  10. sonofobia

    Natafuta perfume konki budget 50K

    Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana. Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa. Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi. Isiwe ya kupima wala rasasi au smart collection. Karibuni
  11. sonofobia

    Wapenzi wa perfume za Tom Ford. Ipi ni the best kati ya hizi?

    1. Black orchid 2. Ombre leather 3. Oud wood Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
  12. monotheist

    Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

    Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje Juzi nimepanda zangu mwendokasi...
  13. Gol D Roger

    Ushauri kuhusu perfume(Ematscents)

    Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
  14. BUSH BIN LADEN

    We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

    Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha. Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
  15. monotheist

    Perfume zenye harufu nzuri kwa maoni yangu

    Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa...
  16. monotheist

    Hizi ndo perfume original ukiachana na zile za Kariakoo

    Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
  17. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  18. R

    Haya ni manukato/perfume gani?

    Habari wakuu Siku chache zilizopita nilitembelewa na mgeni nyumbani. Alikuwa amejipulizia manukato/perfume ambayo harufu yake imebaki kwa wiki nzima sasa kwenye sofa aliyokuwa amekaa. Kwa wajuzi wa manukato naomba kujua ni brand gani za perfume zinaweza kudumu muda mrefu kiasi hiki. Mimi ni...
  19. alpha walk

    INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  20. music mimi

    Natafuta perfume OG ya kike. Bajeti 50k

    Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa. Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi? Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
Back
Top Bottom