pensheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Naona mishahara na pensheni, vimetoka tangu jana, tumieni kwa uangalifu, payment day ya April itakuwa ndefu

    Ni angalizo tu, maana sikukuu huwa zinatutia kichaa! Tumieni kwa busara. Naona huku "Waja Leo Waondoka Leo" hekaheka hazipimiki! Sikukuu njema
  2. G

    Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  3. DOMINGO THOMAS

    Ipi ni njia bora ya mstaafu kulipwa pensheni yake?

    1. Kulipwa Pensheni Nzima (Full Pension) mara moja, bila malipo ya kila mwezi baada ya hapo; au 2. Kulipwa Kiinua Mgongo pamoja na Pensheni ya Kila Mwezi hadi mwisho wa maisha ya mstaafu.
  4. K

    YAHUSU NYONGEZA YA PENSHENI KWA WASTAAFU WA PSSF

    Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF hatujaongezewa hata senti moja licha ya tamko lako. Tunakuomba Mhe. Rais na sisi tunaopokea pensheni...
  5. Mung Chris

    Kwanini wastaafu hawajapewa nyongeza kwenye pensheni?

    Pensheni ya wastaafu waliowahi kuwa na vyeo vya chini haijaongezwa hata mia, inamaana nyongeza ya mishahara iliwalenga waliopo makazini tu. Kwanini waziri wa fedha alitanganza kuwaongezea na wao pia na kwa mwezi huu wa 7 hawaja tekeleza hilo. Haya maumivu ya wastaafu je Rais analipokeaje. Kama...
  6. and 998 others

    Pensheni na stahiki nyinginezo Makamu wa Rais Mstaafu na mwenza wake

    Zifahamu pensheni na stahiki nyinginezo kwa Makamu wa Rais (na mwenza) kwa mujibu wa Sheria ya Stahiki za Viongozi wa Kisiasa Wastaafu (na wenza wao) ya Mwaka 1999 kama ilivyofanyiwa MAREKEBISHO hivi karibuni (2020) 1. Pensheni ya Mwaka (utalipwa kila mwezi) sawa na asilimia 80 ya Mshahara wa...
  7. SSH2025_2030

    Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  8. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi na JKT afafanua malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera kuanza Julai 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
  9. DuaZaMama

    Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  10. Waufukweni

    Mbunge Juma Omar: Wanajeshi Wastaafu, tunapata Pensheni chini ya kima cha chini, mimi napata 140,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho. Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
  11. K

    Kulikoni pensheni inayotoka hazina

    Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata. Tunaomba mtujali sisi Wastaafu...
  12. K

    Tunamuomba Mhe Rais na sisi wastaafu tuongezewe pensheni ya kila mwezi.

    Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi Wastaafu wa nchi hii. Tumeitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa. Mhe. Rais kwa niaba ya Wastaafu...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mashujaa wa Vita ya Kagera Wanaendelea Kulipwa Pensheni

    MASHUJAA VITA YA KAGERA WANAENDELEA KULIPWA PENSHENI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema mashujaa wote waliopigana Vita ya Kagera na waliostahili malipo ya viinua mgongo na pensheni walikwishalipwa na wengine wanaendelea kulipwa kwa mujibu wa Sheria ya...
  14. B

    Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  15. R

    Dhihaka: Serikali yatoa Nyongeza ya 2% ya pensheni kwa wastaafu

    Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini! Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000 1,000,000 nyongeza ni 20,000 Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
  16. D

    Ongezeko la 2% ya Pensheni kwa wastaafu ni kejeli ya karne

    Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr). Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
  17. K

    Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?

    Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate pensheni zetu.
  18. SSH2025_2030

    Wabunge 19 viti maalum CHADEMA wanasubiri kulipwa 400m pensheni?

    1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7. 2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
  19. R

    Tanzania commercial bank rudisheni pension advance ya wastaafu

    It is a pity kuwa wazee hawa walikuwa na mahali pa kupata advance ya pensheni yao sasa mmeiondoa na kubakia salary advance. Kwanini salary advance imebaki na kuondoa pensheni advance? kwanini mmeiondoa tena bila taarifa. Watatafuta benki ambayo itawarudisha kwenye service hiyo.
  20. B

    Naomba kufahamu utaratibu wa pensheni kwa watumishi wa umma hasa Mawaziri baada ya kutenguliwa nafasi zao

    Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao. Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Back
Top Bottom