pengo

The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  2. Analogia Malenga

    Naleta Ugomvi: Kati ya Pengo Makeke na Mr. Dude nani alifanya utapeli ulioakisi uhalisia?

    Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude. Ili kumjua Dude inabidi uwe umezaliwa miaka sio chini 1999 na kwenu kulikuwa na TV ili kuwa na...
  3. Pascal Mayalla

    Buriani Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo, Japo Pengo Lako Halitazibika, Tutakuenzi Kwa Kukuishi, Haswa Ule Upendo Wako wa Dhati na Moyo wa Kusamehe!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo...
  4. M

    Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

    Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM? Hii ni fedheha kubwa sana.
  5. Mindyou

    Shangwe laibuka baada ya Padri Kitima kutambulisha wanasiasa na viongozi wastaafu kwenye msiba wa Kardinali Pengo

    Wakuu, Nauliza tu Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
  6. Cute Wife

    Kitima akitambulisha viongozi wa sasa na wastaafu msiba wa Pengo

    Wakuu, Kitima ametambulisha viongozi wa sasa serikalini pamoja na wastaafu, shangwe la majaliwa sio la nchi hii
  7. Mindyou

    Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  8. N

    Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  9. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  10. M

    Kwa nini apewe nafasi kwenda kuaga mwili wa marehemu Kadinali Pengo wakati alishatamka watu wa TEC wanamchukia na yeye ana kinyongo?

    Kwanza TEC wanadai serikali yake ni dhalimu na imekuwa ikiteka na kuua watu. Asingefaa kupewa nafasi ya kwenda kuaga mwili wa huyu kasisi aliyefariki Alishatamka hadharani kuwa ana kinyongo na Tec
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    Men in black + Polisi wa kutosha kwenye msiba wa Kadinali Pengo, Je alikuwa mserikali?

    Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake. Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote. Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
  12. Inside10

    Kardinali Pengo Enzi Za Ujana

    Hapa akiwa fratel
  13. JanguKamaJangu

    Mufti Bin Zuber Bin Ally: Wakati wa uapisho wa Magufuli, Pengo alikuwa ananipa mlinzi wake anisindikize

    Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zuber Bin Ally, amefika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yoseph lililopo Posta, Dar es Salaam, kuhani msiba wa Kardinali Polycarp Pengo, Februari 23, 2026 ambapo amesema atakumbuka kwa kuwa mtu Mwema. Mufti amesema hawezi zungumza mambo yote kwenye Vyombo vya...
  14. Stuxnet

    Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  15. figganigga

    Kifo cha Polycarp Pengo hakijanigusa. Alitakiwa afe miaka ya 90 huko. Sababu alizuia Katiba mpya

    Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli kutokuguswa na Watu kupotea wala kutekwa. Tangu amewageuka Maaskofu wenzake wakina Gwajima, Pengo...
  16. W

    Kumbukizi, enzi za uhai wake Kadinali Pengo alieleza mwenye wajibu wa kumzika angependa azikwe Pugu

    Wakati w auhai wake Kadinali Polycap Pengo alieza kuwa anatamani azikwe Pugu, mana ndiyo maeneo aliyokuwa akipenda kwenda kupumzika
  17. T

    TANZIA Kardinali Pengo afariki Dunia akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

    Pumzika kwa amani mwadhama Kardinali Pengo. Tuonane mbinguni asubuhi iliyo njema. ===== YAH: TANGAZO LA KIFO Ninayo masikitiko makubwa kuwatangazieni kwamba leo tarehe 19/02/2026 saa 04:00 usiku huu mpendwa baba yetu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
  18. Waufukweni

    Kardinali Pengo afariki dunia akipatiwa matibabu

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  19. D

    Kanisa Katoliki hapa Tanzania aliyekuwa na hekima kuliongoza ni Askofu Pengo tu wengine ni mipasho tu

    Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nini cha kusema. Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali inapagawa. Kadri miaka inavyoenda kanisa linakosa critical thinkers kabisa
  20. kyagata

    GE2025 Mgombea Urais CCK: Serikali yangu itagharamia mishahara wahudumu wa Bar

    Sasa kweli eti hii nayo ni sera ya chama kinachotaka kuchukua dola. Hivi wapo serious kweli hawa watu,walijiandaa kweli na huu uchaguzi au walikurupushwa tu? ---- Chama Cha Kijamii (CCK), kimezindua kampeni zake katika Jiji la Dodoma, ambapo Mgombea Urais, kupitia chama hicho Ndg. David...
Back
Top Bottom