pendeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENGE 01

    Hii ni Pendeza Booking App, Je itafeli au Itafaulu?

    Habari Wajamii, Mod ukifuta uzi litakukuta jambo... Leo nataka tuzungumze kuhusu kitu kipya ambacho kimezinduliwa hapa Tanzania — Pendeza Booking App — app inayolenga kubadilisha jinsi tunavyohifadhi na kupata huduma za uzuri (salons, barbershops, spas, na zaidi). 📱 App hii ni nini hasa...
  2. jamaikatz

    Usimuone ana pendeza behind the scene hujui tu🤫

    Kila mwanaume ana majukumu yake kwa mwanamke , kwa hiyo haupo peke yako kuna wa ........ Chakula Club Make up iPhone Mavazi Birthday Nywele Rent Small Cash Mwalimu Scratch card
  3. Mwafrika mmoja

    Pendeza na Sendo kali kwa bei nafuu

    Hizi ni Sendo za kiume nzuri, imara na zilizotengenezwa kwa mikono. Hii ni bidhaa ya Kiafrika. nakuuzia kwa Tsh. 15,000 leo. Piga/WhatsApp: 0683535699, na nitakuletea ukiwa Dar.
  4. Jidu La Mabambasi

    Queen Sendiga, pendeza basi mama, tunaokutazama tufurahi!

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ni mwanamke yuko kitofauti kidogo. Siwezi kusema ni mwanamke ambaye hajipendi lakini haiba yake hadharani inabidi iboreke. Kama mwanamke lazima apendeze, avutie, na hiyo ndio raha ya kumtazama hata kwenye runinga. Mama Samia tukimtazama kwenye runinga...
  5. sky soldier

    Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  6. V

    Pendeza na mapochi

    Karibuni mpache handbags nzuri mama zangu Bei 48000 Napatikana dar as salaam WhatsApp 0657710078 Delivery popote unapata
  7. V

    INAUZWA Wauzaji wa suti genuine kutoka Uturuki na Italy

    Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki Suti zetu ni slim body Size 32mpka 40 unapata Kwa bei ya Tsh 250,000 Utapata koti kizibao na suruali Tuko kariakoo Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Whatapp 0657710078
  8. M

    Ex-wako anapokusifia sana inaashiria nini jamani?

    Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu. Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili, duu kumwona tuu akaanza kunimwagia masifa ooh umenawiri sana mambo yako safi. Tutafutane aah ikabidi...
Back
Top Bottom