patriotism

Patriotism is the feeling of love, devotion, and a sense of attachment to a country or state. This attachment can be a combination of different feelings for things such as the language of one's homeland, and its ethnic, cultural, political, or historical aspects. It may encompass a set of concepts closely related to nationalism, mostly civic nationalism and sometimes cultural nationalism.

View More On Wikipedia.org
  1. Seth saint

    JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Bado siku 4 kufika D25!!!

    📌 #D25 🇹🇿 #SAMIAMUSTGO #riseupTanzania #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa 🇹🇿🫂🇺🇬🇿🇦
  3. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania 9DecemberTunataka- Mustakabali na Matokeo ya utawala wa kikatili wa Samia

    🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Dunia inaambukizwa (Nationalism instead of Patriotism, Cancel Culture, Superiority Complex, Over-sensitivity na Sisi na Wao)

    Limetokea tatizo kubwa la Sisi na wao; sio viongozi tu bali hata watu wa mataifa fulani kujiona Superior na wengine Inferior; mtu akisema kitu kuhusu nchi yenu basi nyote mnamshambulia na kushambulia taifa zima kwenye fungu moja... mbaya zaidi hii inaonekana kama ndio Uzalendo; lakini ni Hatari...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania The Philosophy of Patriotism

    "Declaring 'MY COUNTRY FIRST' in bold and capital letters is an act of honor; for to betray your people is, in truth, to betray your country." — Alloyce, P.R.
  6. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ni kwa ajili ya watu maskini. Patriotism is for the poor people.

    Penda nchi yako! Jivunie nchi yako! Thamini nchi yako! Tangaza nchi yako! Kuwa mzalendo wa nchi yako! Kauli kama hizi si ngeni midomoni mwa wanasiasa na viongozi barani Afrika wanaokula kwa mrija, huku wakiwahubiria uzalendo raia wao ambao wengi ni maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi...
  7. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Patriotism Club: A Bridge to Strengthen Values, Unity, and Leadership for Tomorrow

    Dear community, In today’s world, patriotism and national values are crucial elements that require deliberate efforts, especially among the youth. As a nation, we need a generation that treasures integrity, unity, and accountability for collective growth. With this in mind, I propose the...
Back
Top Bottom