patrice lumumba

Patrice Émery Lumumba ( ; 2 July 1925 – 17 January 1961), born Isaïe Tasumbu Tawosa, was a Congolese politician and independence leader who served as the first prime minister of the Democratic Republic of the Congo (then known as the Republic of the Congo) from June until September 1960, following the May 1960 election. He was the leader of the Congolese National Movement (MNC) from 1958 until his assassination in 1961. Ideologically an African nationalist and pan-Africanist, he played a significant role in the transformation of the Congo from a colony of Belgium into an independent republic.
Shortly after Congolese independence in June 1960, a mutiny broke out in the army, marking the beginning of the Congo Crisis. After a coup, Lumumba attempted to escape to Stanleyville to join his supporters who had established a new anti-Mobutu state called the Free Republic of the Congo. Lumumba was captured en route by state authorities under Joseph-Désiré Mobutu, sent to the State of Katanga and, with the help of Belgian partisans, tortured and executed by the separatist Katangan authorities of Moïse Tshombe. He was seen as a martyr for the pan-African movement. In 2002, Belgium formally apologised for its role in the execution.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mahakama yaamuru Etienne Davignon mwenye umri wa miaka 93 kupandishwa kizimbani mauaji ya Patrice Lumumba

    Mahakama ya Brussels siku ya Jumanne imeamuru mwanadiplomasia wa zamani maarufu wa Ubelgiji kufikishwa mahakamani kuhusiana na mauaji ya Patrice Lumumba, waziri mkuu wa kwanza wa Congo, ikiwa ni jitihada ya mwisho kuangazia mazingira ambayo hadi leo bado hayako wazi kuhusu kifo chake. Lumumba...
  2. Nyankurungu2020

    Kuanzia Patrice Lumumba na Thomas Sankara na Magufuli wa Rubambangwe Chato. Vifo vyao vitawagharimu watu wasio na mapenzi mema na Afrika

    Leo hii Kongo Drc inahangaika sababu ya Tamaa za mtu mmoja aitwae Mobutu Seseweko ambaye kwa kutumiwa na Wabeligiji alimuua Patrice Lumumba kwa tamaa ili awe kibaraka wa Wanyonyaji. Waliomuua Thomas Sankara hata baada ya miaka 40 bado kifo chake kinawaandama. Vivyo hivyo kwa shujaa wa Afrika...
  3. R

    Mahakama ya Ubelgiji kuendesha kesi Mauaji ya Patrice Lumumba, familia yadai haki

    Familia ya kiongozi wa uhuru wa Congo, Patrice Lumumba, imesema kuwa bado ina matumaini ya kupata haki, wakati mahakama ya Ubelgiji ikizingatia uwezekano wa kumfikisha mahakamani mshukiwa pekee aliyesalia hai kuhusiana na mauaji ya mwaka 1961. Kwa takribani miaka 15, familia ya Lumumba imekuwa...
  4. Nyankurungu2020

    Kama ilivyo kwa Patrice Lumumba na Thomas Sankara, kifo cha hayati Magufuli kitalighalimu hili taifa zaidi ya karne moja

    Hii ipo wazi shujaa yoyote yule ambae anajitoa kupambania taifa lake ili kulinda taifa lake alafu inatokea anafariki kwa utata kiasi cha kila mtu kutoamini kama alifariki kwa natural death damu yake haiwezi kwenda bure. Angalia Drc na Burkinafaso damu za mashujaa Patrice Lumumba na Thomas...
  5. ELI COHEN

    Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  6. Keynez

    CCM inamuenzi Patrice Lumumba kwa kuwapoteza Watanzania kama alivyopotezwa yeye

    Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani. Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
  7. and 100 others

    Video: Askari Watiifu Kwa Mobutu Wakimkamata, Kumpiga na Kumtesa Patrice Lumumba 1960

    Hawa askari kama baadhi wapo, najua wamezeeka sasa, hawana nguvu tena na wanajutia hadi mwisho wa maisha yao hapa duniani. Inawezekana kutokana na tamaa za mali, kujipendekeza kwa wakubwa ilipelekea kufanya kitendo hiko cha kikatili. Hata mwisho wa Mobutu hukuwa mzuri, ndipo utajua Mungu ni...
  8. F

    Jino na sehemu pekee iliyobaki ya Patrice Lumumba yaibiwa Congo DRC

    Jino la waziri Mkuu wa kwanza wa Congo limeibiwa jijini Kinshasa. Ikumbukwe waziri Mkuu Patrice Emilio Lumumba aliuliwa mwaka 1961 na Mwili wake kuyeyushwa kwenye tindikali. Ilivyo bahati mmoja wa wauaji Askari Mbeligiji aliliondoa jino lake kwa siri bila kumfahamisha mtu yeyote. Baadae...
Back
Top Bottom