pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya mawe yanawasha umeme pamoja na Generator!

    Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi. Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Hotuba ya Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho

    Wasalaam. Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza. Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho. Katika hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania Utajiri wa matajiri wanne Kenya unazidi Wakenya milioni 22 wakiunganishwa kwa pamoja. Tanzania vipi?

    Oxfam imesema matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26). Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130...
  5. JamiiForums Tanzania Gari za kukodisha pamoja na Dereva

    Wadau nina gari 3 ambazo nakodisha kwa watu moja ni Toyota Rumion, Toyota Crown na Toyota IST. IST na Crown zimeshapata watu ambao watakuwa wanazitumia. Imebaki RUMION. Dereva unapewa anakuendesha unapoenda popote ndani ya nchi. Mafuta ni juu yako ila utalipa pesa ya kukodi ambayo sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

    Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji...
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi mjipange Pamoja mkitoa nasaha harusini kwa wanenu vinginevyo mtaaibika

    Baaada ya huzuni siku nzima usiku nikabahatika kuhudhuria harusi moja nzuri ya furaha na bashasha ya Wanyakyusa vs Wanyalu Ilipofika nasaha binti ni mnyakyusa akasimama Baba ''Mwanangu sina mengi ila nikukumbushe simu yako simu ya mumeo nisisikie kesi ya simu mimi ninemaliza...'' Zamu ya mama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano baina ya Waziri Bashe na Wahariri wa Vyombo vya Habari pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo

    HABARI PICHA Mkutano Baina ya Waziri wa Kilimo na Wahariri wa vyombo vya Habari Pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo Unaendelea katika Ukumbi wa Mabele Jijini Dodoma. Ajenda 10/30 KILIMO NI BIASHARA
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini pamoja na kuwa Land Rover ni kampuni ya kiingereza lakini magari yake sio maarufu Uingereza?

    Land Rover ni kampuni ya Uingereza, Land Rover ndio hutengeneza magari kama Range Rover, Discovery nk lakini kwenye taarifa ya Serikali magari ya kampuni hiyo hayako hata kwenye top 20 ya magari yanayopendwa Uingereza. Angalia taarifa hii ya Mwezi December 2022, kwenye category zote za Pure...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itumie huduma ya ujumbe mfupi wa simu kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali

    Dah serikali zetu hizi bhana Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka. Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kung'ang'ana kuvaa jezi nyeusi wakiamini ndio ushindi lamba lamba wamepasuka

    Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi. Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa jezi za ugenini wakiamini yanga inapata magoli kupitia jezi nyeusi ni upuuzi wa hali ya juu kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Azam kurudi mezani na Yanga, kumnunua Fei kwa pesa taslimu pamoja na Iddi Nado

    Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa. Azam baada ya kuchokonoa na kuharibu sasa hawana budi kuyamaliza kwa njia sahihi nayo ni kupeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Walimu na Madaktari waliohitimu wajiunge pamoja waanzishe Shule na Hospital binafsi ila Serikali iwape Mikopo ya kuendesha hizo Taasisi

    1.0 Waungwana Habari zenu!! Mimi nina wazo hivi kwanini hawa Walimu wetu waliomaliza Vyuo Miaka nenda rudi na hawa watu wa Afya tusifikirie kivingine kuhusu swala la Ajira. Serikali inayo nafasi ya kuwasaidia hawa kwa mlango mwingine Mathalani badala ya kuendelea kujenga shule na vituo vya...
  14. JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mifuko ya uwekezaji ya pamoja na elimu ya fedha

    Wadau habari za muda huu imetokea watanzania wengi tena wasomi kutokuwa na elimu ya kutosha ya fedha na yote hiyo ni kwa sababu atufundishwi darasani. Sasa nilikuwa napitia kuhusu mfuko wa uwekezaji mpya ulionzisha unaitwa faida fund au watumishi Housing investment, je, hii faida yake ikoje au...
  17. JamiiForums Tanzania Kilichowatokea Simba kucheza uwanja wa Manungu mbali na mji nao Yanga wamekipata, Viwanja vya mechi viwe vya mjini na sio vya bushi.

    Hata kama kiwanja ni kizuri cha huko bush huwa ni usumbufu sana kuanza safari za ziada kutoka kwenye mji mkubwa wa mkoa na kuanza safari za kwenda kwenye hivyo viwanja vya mbali huko vijijini. Kwanini vizitumike viwanja vya town ambako kuna huduma nzuri za hoteli, za kijamii, ulinzi, n.k. haya...
  18. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  19. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  20. JamiiForums Tanzania Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

    SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO === Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…