pamoja

Pamoja FM is a community radio station based in the slums of Kibera in Nairobi, Kenya. It was started in 2007. The slum is a lively, vibrant place and is characterised by a continuous buzz of activity. Operating from a small office at the top of a tall building overlooking Kibera, the station has close ties with the community that is actively involved in contributing to the broadcast content. Pamoja FM has received its primary funding from USAid and it focuses on community issues through debates and feature broadcasts, as well as airing a range of music shows and news.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tazama pamoja na ubunifu wote huu wachina wanauza 200; Je kibongo tungeunda tungeuza bei gani?

    Kuna hizi pipi za watoto! Ziko ndani ya vigari vidogo pamoja na pipi yake unapata kwa tsh 200/= (mia mbili) Ukijuuliza malighafi ya kuunda hivo vigari, muda, kiwanda cha kuunda kigari, uweke matairi halafu ujeuweke pipi halafu uuze mia mbili inatafakalisha. Hapo kwa jumla huenda wanauza kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo mengine ila huyu ana kitu fulani

    Nilirudia mara tatu kumsikilisha sasa sijui anatemebelea kabla au baada ya matukio. Kuna hoja moja ameiongelea kwamba aliyewalrta atamalizam hapa ni ishara ya kiwakisanya na kuondoa ushahidi. Inamaana gani Wakati jamaa aliinhiziwa kitu kwenye kinyeo, halafu baadae unaingiza vidole. Hakika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  5. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi. Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
  7. JamiiForums Tanzania Next sesson NBC itakuwa ni vita kubwa ya timu pamoja na Mashabiki

    1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu. 2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa. Mark my word.
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  9. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

    Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji. Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?

    Lyatonga Mrema , Maalim Self, Lipumba, Mbowe , Mama Tanzania pamoja na Zitto je historia ya Tanzania itawakumbukaje hawa watu ?. .
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa UMMA kuweni makini na mikopo ya muda mrefu pamoja na baadhi ya taasisi

    Habarini za wakati huu! Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24. Ingawa sijajua wanatoa wapi...
  14. JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Kala Pina alitaka kuwatolea posa wasanii wenzake ambao ni Voice Wonder pamoja na Mr Blue nyakati hizo!!

    Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41. Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha baada ya kuoga pamoja na koo pamoja na masikio kuwashA

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
  18. JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…