palestine

  1. Keynez

    Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  2. Sir John Deere

    Yemen ndio watakuwa mkombozi wa taifa la Palestine wakisaidiwa kwa karibu "technically" na Iran

    Kwa ufupi sana resistance imesimama zaidi Yemen kwa usaidizi wa karibu kabisa " technically" kutoka Iran. Tumeona shifting kutoka US zaidi ya mara 3 kuhusu houthi na misimamo Yao. Israel imekua ikijaribu kupambana na Yemen lakini mpaka sasa hakuna mafanikio. Nchi zingine wamebaki kuwa wabwekaji...
  3. ELI COHEN

    Naamini kuna mamlaka zinazohakikisha kile kinachopaswa kuzungumzwa ni Palestine pekee huku maeneo kama Sudan, Syria, Nigeria kaskazini, etc.. kimya

    Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto. Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza watumwa wa kingono na wengine kuwauza kwa watu wengine. Jeshi la boko haram limesababisha chaos nigeria...
  4. leodigardcyrilo

    Napata shida kwenye vita ya Israel na Palestine

    Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele kuwa Israel anaua raia na wao wasiwaachoe hao mateka raia wakaishi kwa aman
  5. R

    Nchi zinazotambua Taifa la Palestine, Marekani ikiwa imejitenga kidiplomasia

    Idadi ya nchi zinazotangaza kutambua taifa la Palestina inaendelea kuongezeka, ambapo zaidi ya mataifa 145 sasa yanatoa wito wa kutambuliwa kwake kimataifa Nchi nyingi zilizotambua taifa la Palestina zilifanya hivyo mwaka 1988, baada ya Baraza la Kitaifa la Palestina kutangaza rasmi kuanzishwa...
  6. The Zanzibar Echo

    Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

    Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
  7. Beira Boy

    Tuombe aman huku Iran akiwa katulizwa Israel aendelee kuuwa waarabu wasio na hatia huko Palestine, waarabu wa Sudan nao waendelea kuchinjana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU Hapa ndo utauona umaana wa Iran sema tu Iran hana msaada lakini ni mtetezi wa watu wa Palestine Bahati mbaya naye kapigwa kama mtoto mdogo, mda huu anaugulia maumivu, tumpe pole Israel anaendelea kuuwa watu wasio na hatia tokea jana usiku mpaka mda huu...
  8. ELI COHEN

    Nakuambiaje, hii leo Israel abadirishe dini na awe muislam, hautakuja kuona mabango ya free palestine. So the issue ni itikadi wala sio haki ya ardhi.

    Niambie ni lini mwenyaaazi wa JF waliwahi kuandika nyuzi kama hizi ku-condemn yafuatayo👇🏻👇🏻 Ushawahi kusika free sudan? Ushawahi kusikia free syria? Ushawahi kusikia free yemen?
  9. nbayoungboy never broken

    Mchina amewezaje kupenya rada hadi Palestine

    Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza. Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya Israel zingemnasa sababu Lote ni eneo la kivita. Amewezaje au kulikuwa na makubaliano yoyote na...
  10. Echolima1

    Katibu Mkuu wa Front for Popular Front for the Liberation of Palestine akamatwa na watawala wa Syria

    Utawala wa Syria asubuhi ya leo umemkamata Dkt. Talal Naji mjini Damascus. Yeye ni Katibu Mkuu wa Front Front for the Popular Front for the Liberation of Palestine - General Command (shirika la kigaidi la Palestina lililoanzishwa na Ahmed Jibril mnamo 1968, na msingi wake mkuu wa operesheni huko...
  11. ELI COHEN

    Hivi ndivyo unaweza kufanya ili Palestine iwe huru

    Wazingatie katika kuijenga Palestina, sio kuiangamiza Israel Wakubaliane na haki ya uwepo wa Israeli. Wafanye amani na majirani zao. Wafanya diplomacy na Saudi Arabia na UAE baada ya kuhakikishia usalama dhidi ya itikadi za hamas Washirikiane na Israel na USA katika kukomesha Hamas Wapige...
  12. Imole

    Palestine vs California

    Tunamwachia Mungu
  13. ward41

    Israel inalindwa na maombi ya watakatifu ulimwenguni wakiwemo wa pPalestine na Wairan

    Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel. Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote. Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel. Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina...
  14. rajiih

    Ya Israel na Palestine: Nimeamini Dunia Hii Tunafuata Sheria za Wakubwa Pekee, Si za Mungu

    Habari wakuu wa Jf poleni na majukumu ya kazi na simanzi ya Janga letu la pale Kariakoo. Ukifuatilia muenendo wa Vita huko Gaza ni dhahiri kabisa nafsi yako itakuuma na Mauwaji ya haraiki kila kukicha huku Dunia ikikaa kimya pasi zuio au katazo lolote dhidi ya dhulma hii ya wana Gaza. Je ni...
  15. K

    Uonevu tangu 1948 Palestine

    Waziri mkuu wa Zamani wa Israel Golda Meir anathibitisha kuwepo kwa taifa la Palestine. https://youtube.com/shorts/EIIKBbl9F2U?si=Fq2OslOjpmOpTMuv
  16. ward41

    Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  17. ELI COHEN

    Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  18. ward41

    Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  19. Abdulrahmanyusuph03

    Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
Back
Top Bottom