Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Padri Ameonyesha waziwazi kuwa na chuki binafsi na Rais wetu Mpendwa,ameonyesha tangia awali kuwa na kinyongo na utawala huu, ameonyesha kuwa na dharau na maneno ya dharau sana awamu hii.
Inaonyesha ni mtu mwenye Ubaguzi wa kidini na mtu aliyejaa kiburi moyoni...
Ni takribani siku nne, kumekuwa na mjadala mzito umeibuka baada ya taarifa kuwa vijana wawili wanaodai kuandika barua ya malalamiko kwa Balozi wa Vatican (Papal Nuncio), Archbishop Angelo Accatino wakimshtaki Padre Charles Kitima. Tukio hili limeibua maswali makubwa si tu juu ya madai yenyewe...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa wakati wa maandamano kuliletwa majeruhi waliokuwa wameumia, lakini baadhi ya askari walizuia wapewe matibabu wakidai “tunataka kuwaona mochwari.”
Ameeleza kuwa, kwa kuwa Kanisa Katoliki linamiliki hospitali...
“Tunachosikitika mpaka sasa na wanachosikitika Watanzania mpaka sasa, wanachoumia Watanzania mpaka sasa, kinyume na mila na desturi za makabila yote ya Tanzania mpaka sasa ni kutokukiri ukweli kwamba waliouawa wameuawa na nani?.. na kama aliyeua hafahamiki ilikuaje vyombo vinavyozuia mauaji...
Wameanza kutengeneza njia za maridhiano, ila cheko la Padri Charles Kitima linakitu sana ndani yake
===============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika...
Kama mwaka 2015 waliweza kupata wabunge, mfano kuna chama kimoja kilifikisha wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 45, iweje mara inayofuata anakuja kupatikana mmoja tu, huoni pale kuna dosari?
Tumevuruga historia ya uchaguzi wa nchi, na hili siyo jambo zuri na halitaiponya nchi, litaiangamiza nchi...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema hali ya kiafya Padri Charles Kitima, katibu mkuu wa Baraza hilo, inaendelea vyema na atarejea katika majukumu yake hivi karibuni.
Padri Kitima alishambuliwa Aprili 30, 2025 na kitu butu kichwani alipokuwa kwenye...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO".
Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
Katibu Mkuu BAKWATA Alhaj Nuhu Jabir Mruma amesema Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA), linalaani vikali tukio lililotokea jana la kushambuliwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Kwa mujibu wa taarifa maalum aliyoitoa leo Alhamisi jioni Alhaj Mruma amevitaka vyombo...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Padri Charles Kitima anasema viongozi wa dini wanathamini uchaguzi na wanachotaka haki za kisiasa za Watanzania ziheshimiwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
Nimekutana na hii taarifa iliyotolewa na The Chanzo ikidai kuwa Padri Dkt. Kitima kupitia taasisi yake ya CK ana mradi wa kugawa bidhaa tajwa hapo juu,
Wasiwasi wangu isije kuwa wanamchafua Padri kutokana na maoni ambayo amekuwa akiyatoa katika nyanja za Siasa, Uwajibikaji na Utawala Bora.
1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.