padre

The Partnership for Acid Drainage Remediation (PADRE) is a European-based scientific-technical association dedicated to acid mine water related topics.

View More On Wikipedia.org
  1. Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili. Akitoa taarifa hiyo...
  2. R

    Padre: Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya

    Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani wamekaa kwa amani". Ni wakati wa Watanzania kutambua ukimya si suluhisho kwa maovu yanayoendelea nchini.
  3. R

    GE2025 Padre Emilius Kobelo: Anayevunja haki ya Mtanzania ni Mtanzania

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea haki na amani nchini Tanzania, iliyofanyika Agosti 23, 2025 katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane, Jimbo Katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo alisitiza umuhimu wa kuiombea taifa huku tukitambua wajibu wetu kwani anaevunja haki au kuharibu amani...
  4. R

    GE2025 Padre Emilius Kobelo: Wanaosema Kura zinaibiwa siyo waendawazimu, huwezi kufikiria jambo ambalo halipo

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani nchini Tanzania katika Parokia Teule ya Mt. Agnes Nanenane Jimbo katoliki Morogoro, Padre Emilius Kobelo amesema " Sababu unasikia wakati mwingine 'kura zimeibiwa' sidhani kama ni wendawazimu wanaoibua maswali ya namna hiyo, huwezi...
  5. K

    Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  6. J

    Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi aadhimisha Jubilei ya almasi (miaka 75) ya Upadre akiwa na umri wa miaka 106

    Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
  7. Padre Juvenalis Asantemungu Ateuliwa Kukaimu Chuo Kikuu cha SAUT

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria kwa mujibu wa Katiba ya Chuo cha SAUT ya Mwaka 2010, amemteua Padri Prof. Juvenalis Asantemungu kuwa...
  8. TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  9. Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  10. TANZIA Lala salama Padre Felician V. M. Nkwera

    Lala salama mtumishi wa Mungu aliye hai. Nilichojifunza kwako ni kwamba Mungu wetu hawekewi mipaka, yeye humpa karama amtakaye kwa sifa na utukufu wake. Felician V. M. Nkwera Felician Venant Nkwera (alizaliwa Luilo, leo katika Wilaya ya Ludewa, mkoa wa Njombe[1], 28 Aprili 1936 (umri 89)) ni...
  11. Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  12. Askofu Nzigilwa: Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka. Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
  13. Kushambuliwa kwa Padre Kitima ni mtihani mkubwa kwa Kanisa Katoliki

    Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani. Na Bwana Yesu ametufundisha kuchukua Msalaba Wake na kumfuata. Iweje leo vibaka wanamshambulia kiongozi mkubwa wa Dini...
  14. Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  15. Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

    Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani. Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
  16. H

    Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici โ€“ CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  17. Padre Josephat Jackson Bududu ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Tabora

    BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ .
  18. PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
  19. PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  20. "Kutoka kwa Mwito hadi Uteuzi: Safari ya Padre Katika Imani na Huduma"

    ๐Ÿ‘‰๐ŸพSafari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ