Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima,
akizungumza Julai 8, 2025 na Jambo TV, Padri Kitima ameeleza kuhusu Viongozi kupenda kusifiwa na si kukosolewa ikiwa wajibu wao ni kutimiza mahitaji ya wananchi
Pia amesema kazi ya kanisa ni kuonya kuelekeza...