othman masoud

Othman Masoud Othman Sharif is a Tanzanian lawyer and politician serving as the First Vice President of Zanzibar. He is also a party member of ACT Wazalendo.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Othman Masoud Othman: Mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema. Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama chake kwenye mkutano wa ndani hivi leo Februari 11, 2026 Kusini kwa kisiwa cha Pemba...
  2. Roving Journalist

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  3. M

    PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  4. PAYE

    GE2025 Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

    Chama cha ACT-Wazalendo kimewataka Wanachama na Wafuasi wake kutoshiriki katika zoezi la kura ya mapema unaofanyika leo Oktoba 28, 2025, na badala yake wasubiri kushiriki Siku rasmi ya Uchaguzi wa Wananchi wote itakayofanyika Oktoba 29 Mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Taifa...
  5. Mafyangula

    GE2025 Othman Masoud: Watawala acheni vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, Tutauana hadi lini?

    Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa...
  6. PAYE

    GE2025 Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi

    Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi anaowaongoza. “Mkitaka kupima kiongozi, mpime kwa kiasi hicho au kwa vigezo hivyo, maslahi makubwa ya...
  7. Inside10

    GE2025 Mgombea Urais Zanzibar Kupitia ACT, Othman Masoud kujuimuisha WALIMU WA MADRASA Katika Mfumo wa Malipo ya Serikali

    Nitaweka historia mpya kwa kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali, kuwapa mishahara, bima ya afya na hifadhi ya jamii. Walimu hawa ndio msingi wa maadili, dini na malezi ya taifa, hivyo lazima wapewe heshima na thamani yao. Serikali isiyowajali wao ni Serikali...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Nikipewa Urais Zanzibar, Kipaumbele Kitakuwa Marekebisho ya Katiba

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema akipata ridhaa ya kuongoza dola, ataanza na marekebisho ya Katiba ili kuvifanya visiwa hivyo kuwa mikononi mwa Wazanzibari. Othman ameahidi Wazanzibari watakuwa na uhuru wa kuhoji kuhusu mwenendo wa uendeshaji...
  9. Parabolic

    GE2025 Othman Masoud (OMO) azindua kampeni Pemba

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo September 13 anazindua kampeni zake katika uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake, Pemba kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika mkutano huo, Othman Masoud Othman, amesema kuwa endapo...
  10. M

    GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
  11. DuaZaMama

    GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

    Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
  12. McLaren

    GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa...
  13. ACT Wazalendo

    GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Tutaiondoa CCM katika dola

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu. Sasa ifike mwisho

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
  16. R

    Maajabu ya ACT: Zitto Kiongozi wa chama mstaafu ana sauti ie anasikika kuliko Kiongozi wa chama Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud

    Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
  17. W

    PreGE2025 Othman Masoud Othman: Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda?

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa "Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda...
  18. Roving Journalist

    PreGE2025 Othman Masoud ziarani Tumbatu asisitiza uimarishaji wa majengo ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
  19. W

    PreGE2025 Othman Masoud awataka wanaohubiri amani wazingatie haki na uadilifu

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa ajili ya kupata shukrani na fadhila za kisiasa. Amesema kwa maoni yake, Kamati ya Amani Zanzibar...
  20. Roving Journalist

    PreGE2025 Othman Masoud: Wingi wa shule za magorofa hauna maana yoyote ikiwa watoto wanaokwenda kusoma wanashinda njaa

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud Othman amesema harakati za kubadili mifumo ya uongozi Zanzibar haziwezi kusimama vizazi hadi vizazi kwa sababu Zanzibar inashindwa kujiendesha wenyewe. Othman ameyasema hayo 28 April 2025 Wakati akihutubia maelfu ya wanachama wa Chama...
Back
Top Bottom