oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  3. JamiiForums Tanzania Family Get Together - Oktoba 29

    Oktoba 29 Nitakuwepo. Nategemea kukutana na kaka na dada zangu from another mother! Mimi naona itakuwa get together tu ya wajukuu wa Clemence Mwandambo. Divided by DNA, United by Dismay. Nitaamka zangu saa 12, nioge nile zangu kiporo cha wali maharage, nichukue back pack yangu nitoke...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Tangazo la uchaguzi kama uchawi, Oktoba tunatoka hakuna mganga zaidi ya wananchi

    Amkeni watanzania Bongo Movie ya CCM imetoka Rami ebu watuache kidogo hahahahahahahahahaah
  7. JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 11 kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Jinsi polisi wanavyocheza kadi za vitisho na kuweka woga! _______________________ _______________________ Sote tunajua kuwa polisi wana idadi ndogo sana ikilinganishwa na idadi ya watu nchini Kwa hivyo wanatumia mbinu kuonyesha uwepo na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 12! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! #OktobaTunatoka bado siku 12 Sababu tunayo na si moja lakini iwe siku ya kwemda kukomboa waliotekwa na kufichwa! Inauma sana kuwa na serikali inayomwaga damu ya wanamchi alafu inaona sifa! Hata tusipofanikiwa kingine zaidi ya kuwakomboa na kukomesha utekaji ni ushindi...
  11. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kutoweka kwa Polepole kutolewa Oktoba 24, 2025

    Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kutafanya kazi iwe nyepesi zaidi

    Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo. Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri...
  17. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sioni dalili zozote Oktoba 29 zaidi ya kutiki na kusubiri uapisho

    Huo ndio ukweli usio na chembe ya unafiki na anaye nipinga nipo tayari niweke naye 2m mezani
  18. JamiiForums Tanzania Kazi ni rahisi sana Oktoba 29

    Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Hussein Machozi asema Oktoba atatoka

    Msanii wa Bongo Fleva, Hussein Machozi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kama wako 1000 basi naye atakuwa mstari wa mbele kama wa 1001 hiyo Oktoba.
  20. D

    JamiiForums Tanzania KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

    Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.” ‎ ‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…