Marko 12:17
"...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu."
Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅
Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅
Damu ya Yesu inasafisha dhambi zote ✅
Wokovu haupatikani kwa matendo, bali kwa neema ✅
Biblia ni Neno la Mungu, ni...