oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Katuga: Kuna siku mtuhumiwa anaweza kutaka Mungu aletwe kuwa shahidi wake

    Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
  2. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka: Yaliyotokea Oktoba 29 ni jinai, maridhiano sio suluhisho, hatua zichukuliwe kijinai kwa waliohusika

    Mwanasheria maarufu nchini, Peter Madeleka amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 yana masuala ya jinai yanayopaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, akisema maridhiano hayawezi kuwa suluhisho la makosa ya jinai. Kauli hiyo ya Madeleka imekuja wakati Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makala ya kiuchunguzi ya CNN iliyotengenezwa na Larry Madowo kuhusu mauaji ya Watanzania Oktoba 29, yashinda tuzo huko Atlanta, GA, Marekani.

    Jana Jumamosi tarehe 15, Agosti 2026, makala ya CNN kuhusu mauaji ya Watanzania wasio na silaha wala hatia yoyote ile, imeshinda tuzo ya Salute to Excellence, ya taasisi ya NABJ. Uchunguzi huo uliopewa jina “CNN Investigates Killing of Tanzanian Protesters by Police”, umetambuliwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania CCM inaweza kutuambia nani aliwaua waliouawa Oktoba 29?

    Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025. Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane. Na kwenye mikutano yao hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katambi: Oktoba 29 yaliyotokea kwao ilikuwa sherehe wakahamasisha watu wakawavutisha bangi na kuwapa viroba wakaingia barabarani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29 yalihusisha watu waliohamasishwa kuingia barabarani baada ya kupewa kilevi. Katambi amesema baadhi ya maandamano yalihusisha vitendo vya uharibifu na uporaji, akitolea mfano wa watu kuelekea kwenye baa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
  8. JamiiForums Tanzania Godfrey Polepole awataja wahusika wa mauaji ya Oktoba 29. Ashauri Serikali isimalize pesa kwenye Tume ya Jaji Lila

    Ujumbe huu hapa👇 Nukuu ya alichokisema Godfrey Polepole "Ningependa kusema mamlaka za Tanzania zimuachilie huru Balozi Humphrey Polepole. Hilo ni la kwanza. La pili, nataka kumwambia Mama Samia Suluhu Hassan, Mama Samia usipoteze pesa ambazo ni kodi za Watanzania kwa ajili ya kuwalipa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama: Jaji Warioba alieleza tuzungumze kabla uchaguzi akapuuzwa, nani anaweza kutoa maelezo kilichotokea Oktoba 29?

    Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 4, 2026 na Saut Digital, Dkt. Azaveli Lwaitama, amesema suala la maridhiano inahitaji msuluhishi kutoka nje kama Jumuiya ya Common Wealth na SADC ili watu waweze kuwa na imani na kinachofanyika. Aidha Dkt. Azaveli Lwaitama amegusia jitihada za...
  10. JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt.Ayob Rioba: Tulipigiwa simu tuondoke TBC kwamba kuna watu wanakuja kutuvamia Oktoba 29

    Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TBC, Ayob Rioba akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na A &S podcast amesema Na TBC ilikuwa victims kwa sababu ndio iliyokuwa inatangaza matokeo na taarifa zingine. Namnukuu "Watu wanazungumza violence, hivyo wanafikiri violence ni sarcas au ni fiesta? Sisi ni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ayub Rioba: Mlitaka turipoti nini Oktoba 29? Kwamba angalia hapa wanavyochoma? au tukaripoti angalia wanavyopigwa risasi?

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amekanusha madai kuwa chombo hicho kilipokea shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa serikali ili kukaa kimya wakati wa vurugu za uchaguzi za Oktoba 29. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze Julai...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Nchimbi umetumwa kutuuza, Oktoba 29 tulipambana mkatupiga risasi ukatutelekeza

    Umetumwa kutuuza, unasema tutoke tupambanie Katiba ili tufe wakati Katiba unayo kabatini na 'ufunguo unao'. Unataka Wanaharakati warudi ili uwauze wakamatwe unataka kuwauza vijana wafe halafu ukae kimya kama ulivyofanya oktoba 29, ili upate ulichoahidiwa. Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe eti ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anna Tibaijuka: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za Wananchi dhidi ya utawala wa mabavu

    Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ICC hawawezi kuhojiwa kuhusu kesi iliyofunguliwa juu ya mauji ya Oktoba 29 waeleze uchunguzi wao uko katika hatua gani?

    Duniani nzima sasa inalia na Tanzania kwa mambo kadhaa yanayohusi ukiukwaji wa haki za binadamu bila kusahau mauji ua Oktoba 29 . Nachojiuliza, katika hali hii ya shinikizo kuhwa la kimataifa, inakuwaje hawa ICC wako kimya tu kama hawaoni kinachoendelea japo wao ni taasisi huru? Au wanasubiri...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Oktoba 29 inaniumiza sana, nailaani serikali. Hakukuwa na uchaguzi ni Uchafuzi

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia. Akizungumza...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
  19. JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama kinachojali raia wanyonge kwa nini kisitenge hata bil 300 kufidia wafanyabiashara waliothirika na vurugu za Oktoba 29?

    Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao. Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea. Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
  20. JamiiForums Tanzania Ni chombo gani cha habari cha Tanzania ambacho kimetengeneza hata makala moja kuhusu Watanzania waliouliwa Oktoba 29?

    Baada tu ya mauaji ya Samia kutokea, vyombo vya habari vya kimataifa viliingia kazini. Vingine viliandika kuhusu hayo mauaji. Baadhi vilitengeneza makala za kiuchunguzi na kurusha kwenye runinga zao. Mpaka sasa sijaona chombo chochote cha habari kilichoko Tanzania ambacho kimeandika makala za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…