Habari za muda huu.
Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua changamoto ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu.
Hadi sasa, walimu wengi katika halmashauri...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
ofisiyawaziri
walimu ajira mpya
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.
Pia soma
~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima...
CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI (OWAIS)
Dodoma, 13 Machi 2026
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano (OWM-KAM) inautaarifu Umma kuwa kumetokea tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. Ofisi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo inayoanza Julai 2026, ikiwemo Dira ya Taifa ya 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31).
Akifungua Kikao Kazi...
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
#WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za wizara zilizoko mtumba mkoani Dodoma, na kumshukuru Mhe. Biteko kwa utendaji wake wa kazi katika kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.