ofisi ya waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi Atoa Rai Ofisi ya Waziri Mkuu, Mifuko 71 Iwafikie Vijana Mikoani na Wilayani

    JULIANA MASABURI ATOA RAI OFISI YA WAZIRI MKUU, MIFUKO 71 IWAFIKIE VIJANA MIKOANI NA WILAYANI Akizungumza katika Kongamano la Fursa za Kiuchumi kwa Vijana Mkoani Mara Wilaya ya Tarime lililofanyika tarehe 14 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa CMG, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania, Mhe. Juliana...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri za kijasusi

    Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel An IDF officer has been arrested as part of the...
  3. U

    JamiiForums Tanzania News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni vipi vigezo vya kufanyakazi Ofisi za Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , ofisi za Rais? Unapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu

    Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
Back
Top Bottom