nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Karibu umalizie nyumba kwa mkataba kisha uhamie. Nahama kikazi

    🙏🙏🙏🙏🙏
  2. JamiiForums Tanzania Mkasa katika nyumba ya majini

    NYUMBA YA MAJINI “KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si kweli, lakini wale wanaoyapata hayo mambo wanajua na wewe usiombe yakukute hata siku moja,” ndivyo alivyoanza kusimulia...
  3. JamiiForums Tanzania Katika ndoto yako ya ujenzi- Fahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa ile nyumba, jengo lako

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress 📲 +255 657 685 268 Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ndio kusema nimeokota nyumba au?

    Wakuu kwema? Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba. Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya. Jana wazo likanijia nipige...
  5. JamiiForums Tanzania Kiwanja Chenye Hati na Nyumba Yake Kinauzwa Kibaha

    Nauza kiwanja changu, Namba 30 kipo jirani na hospitali ya wilaya, eneo la Lulanzi ,kata ya Picha ya ndege, Manispaa ya Kibaha. Hospitali kilometa moja kulia na shule ya pyramid English medium ,mita 800 kushoto. Kilomita 3 toka barabara ya Morogoro to Dar es Salaam.Pia kilomita 3 toka...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee hii nyumba ya chumba kimoja kwa mkopo

    MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa wanaojenga nyumba zakupangisha ni nzuri sana na haina gharama kubwa. Gharama yake ni kiasi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tabata Bima

    Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje hazijakamilika. Ukubwa wa Eneo: Sqm...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba Inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: • Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. • Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, Jiko na stoo. • Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. • Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. • Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

    Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Hakikisheni mnaponunua nyumba za watu ndiyo yenyewe na kiwango

    Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook. Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
  12. JamiiForums Tanzania Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

    Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF. Naomba ushauri kwa wazoefu. Asante
  13. JamiiForums Tanzania Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  14. JamiiForums Tanzania Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa IPO Goba mtaa wa Kunguru. Price 460 millions na maongezi yapo kidogo. SQM 550 Kwa taarifa zaidi waweza kupiga hii namba 0658124288
  16. M

    JamiiForums Tanzania ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

    Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
  17. JamiiForums Tanzania Hii confidence ya kununua nyumba za watu na kuzifanya makazi mnapata wapi?

    Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo. Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila...
  18. JamiiForums Tanzania Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

    Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi. Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Ghetto linapoteza raha yake ukifika 30's, nyumba ya kupanga inakupa stress ukivuka 40's, jibane unavyoweza uwe na nyumba yako.

    Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako. Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
  20. JamiiForums Tanzania Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    Ila wabongo, aya bwana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…