Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako?
Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote!
Tunapatikana kariakoo📍
Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650
HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS
PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE
POOL CONSTRUCTION
TUPIGIE UPATE KAZI BORA
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29...
"CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!"
check out this 4bedrooms with balconies
call/whatsap us +255624004650
design and construction...
Ukitaka kujipakia rangi kwenye nyumba yako fanya hivi
1. Nunua rangi ya maji lita 10
2. Nunua roll za kupakia rangi
3. Andaa mtu wa kuchanganyia rangi.
4. Nunua color bank zinauzwa buku
Endelea kujaza ili tupeane ujuzi
Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama.
Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
Unasumbuka na nafasi ndogo nyumbani? Umekuwa ukitamani fanicha ambazo hazichukui nafasi kubwa lakini bado zinapendeza na kudumu?
Afro Eco Wood Designs imekuletea suluhisho: fanicha za kisasa zenye ubunifu wa hali ya juu zinazokufaa wewe unayeishi kwenye nyumba yenye nafasi ndogo – iwe ni chumba...
Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako
Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako
Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache:
1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia.
2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji.
3. Faragha...
Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela
Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
Kama unataka kujenga (nyumba yako) nyumbani ulikozaliwa tofauti na unapofanya kazi kwa kutegemea usimamizi wa ndugu zako hakikisha una moyo wa uvumilivu.
Kumpa ndugu yako cheo cha usimamizi wa hela za ujenzi wa nyumba yako ni sawa na kumkabidhi mkeo/mumeo kwa Mngoni azunguke nae kwenye semina...
Natumai Mu wazima wa afya..
Tunafanya Skimming bora na ya viwango vya juu kwa gharama nafuu..
Kazi ya Rangi ni kupendezesha, sasa unapokosea Skimming Jengo haliwezi kupendeza kamwe hata urudie Rangi Mara5..
Skimming haitakiwi kubaki na dosari ya Aina yetote..
(Achana na Skimming unamuuliza...
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.