Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake.
Hata baada ya simba kumpa maisha na connections na standard ya maisha ku improve bado dada alikaza...