nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga. Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
  2. JamiiForums Tanzania Nyie bongofm sikieni

    Siku hizi mnatangaza taarifa ya habari saa 12 asb,sio mbaya,ila msiwape kutangaza taarifa hizo watu wasiosomea kazi ya utangazaji,kwani wanaharibu hizo taarifa ya habari,wanameza mate hovyo,wanatangaza hovyohovyo kwakuwa hawajui kitu.Chisano jr hawezi kutangaza taarifa ya habari
  3. JamiiForums Tanzania Nyie walimwengu dunia yenu ya mapenzi imeshanishinda!

    Hamna dogo nyinyi,staha wala adabu mtu unajitahidi kwa uwezo wako wote mpaka jasho linakumiminika,vikengere utamu mpk vinachemka lkn mtu bado anakuambia unafanya mapenzi kama bata!!..😠 Bata! sure bata! WTF
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  5. JamiiForums Tanzania Hi siku Kaseja alituchomesha derby sitokaa nisahau

    Kama ulisahau kuna mtu alifanya miujiza siku ya derby Simba na Yanga na hakushangaa hata kilichotokea Mnaongelea marefa leo hii enzihizo watu walimalizana na wachezaji mapema. Mpira ulipigwaa mh akacchukua mpira akarudisha nyuma anataka kupiga chenga dah wakamalizana nae Jukwaaa linachekaa tu...
  6. JamiiForums Tanzania Nyie Kuna wazee wanaswaga,Vijana mkasome

    Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹 Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
  7. JamiiForums Tanzania Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Redio maria acheni udini, nyie kutwa kutwa mambo ya dini ya ukristo na kwaya tu?

    Radio maria acheni udini aisee mnazingua aisee Tanzania kuna dini kubwa mbili aisee sasa kwanini kila siku nyie mnaizungumzia dini moja tu ya ukristo? Ili hali nyie ni radio tu kila mtu anapaswa kuisikiliza sio kubase kwenye dini moja tu aisee mnakera sana aisee Mtanirekebisha kama ni radio ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mnafungia Katarama watoto kama hawa tuwaone wapi nyie waty nyie loh

    Mashallah Allah awatunze.
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa mwaka 1990 mnazeeka ujue nyie sio watoto tena

    Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
  11. JamiiForums Tanzania Sheria 6 za dhahabu kwa nyie wanaume

    1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae. 2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
  12. JamiiForums Tanzania Nyie kuku wangu amejiuwa

    Nyie kuku wangu amejiuwa je naweza kula kuku aliyekufa maana bado wa moto moto 👀
  13. JamiiForums Tanzania Single mothers njooni tuzungumze kwa mapana na ufupi

    Habarini wanajamvi. Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia. Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

    The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya...
  15. JamiiForums Tanzania Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mna watoto? Mkirudi nyumbani watoto wenu mnawatazama vipi?

    Hivi nyie watekaji na wauaji mna watoto ? Mkirudi nyumbani watoto zenu mnawatazama kwa macho gani ? Watoto nao wanasema baba/mama ametoka kazini. Kazi gani ya kutesa na kuua wenzako ? DAMU YA DEUSDEDITH SOKA (DEO) Siku ya Jumatano ya tarehe 21 August 2024 nilikuwa maeneo ya Buza pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

    KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita. Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
  18. JamiiForums Tanzania Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

    Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma, you love my swaga? hey babe, lil mama hey honey money money penny i got money for ya'' yani huku...
  19. JamiiForums Tanzania Na nyie Mashabiki wa SIMBA SC, mnaenda kufanya nini uwanjani?

    Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football. SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…