nyerere

  1. Vita za Afrika zinaendeshwa kiuchawi kwa asilimia kubwa- Yericko Nyerere

    Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili! Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked. Usilolijua...
  2. Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  3. Tuulinde mchango wa Magufuli kwenye bwawa la Nyerere. Liitwe bwawa la Nyerere na Magufuli

    Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa. Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli. Na kwa kuwa yeye ndiye aliyependekeza jina la Nyerere basi nasi tuongeze...
  4. R

    Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  5. Hii ndo inaenda kuwa ajali ya kisiasa kwa Boni Yai, Yericko Nyerere, Ntobi na wengine wote waliojitoa ufahamu na kufanya kampeni zilizokosa staha

    Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa. Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya...
  6. Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  7. Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  8. Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  9. Mwenye CV ya Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwl J. K Nyerere , Mkoa wa Kilimanjaro!

    Ukiiweka hapa! Mungu atakuwa amekubariki sana!
  10. Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  11. Nyerere alianzisha CCM akawapisha wengine

    Nyerere aliianzisha CCM. Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia. Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi. Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi. Kwa hiyo lolote...
  12. Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  13. J

    Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
  14. PreGE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

    Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
  15. K

    Leo nimemuona mama Maria Nyerere bado yupo imara

    Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu. Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona bado yupo imara. Tena ametoa bonge la maoni juu ya maendeleo ya nchi Kwa Sasa. Hii...
  16. Yericko Nyerere: Nyumba aliyoshambuliwa Lissu ni ya mbowe

    Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
  17. G

    Nini kinamsibu Yericko Nyerere hivi sasa? Soma ujumbe wake huu wa 2020 kuhusu Lisu

  18. Kitoe kibanzi ndani ya jicho lako kwanza ndipo umwambie mwenzio

    Huyu jamaa huwa nilianza kumtilia mashaka na uwezo wake juu ya uandishi wa vitabu vyake, hasa pale baada ya kushindwa kuchochechea mijadala ya uchaguzi ndani ya CHADEMA, yeye Kama ni miongoni mwa mwandishi wa vitabu Afrika na kuchukua tunzo mara mbili. Alishindwa kutumia kalamu vizuri...
  19. F

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete? https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
  20. G

    Abdul Jumbe alikuwa kichwa sana. Pamoja na kupinga muungano wa serikali 2, kumbe alipinga urais usiokuwa na ukomo?

    Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi. Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2. Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…