nyanda za juu kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inakuwaje wanaweka nyanya Dodoma to Chalinze halafu umeme ukatike Nyanda za Juu Kusini?

    TANESCO wanakata umeme nyanda za juu sababu wanatandaza nyanya Dodoma-Chalinze. Hii kijiografia na kiusambazaji wa umeme imekaaje maana hainiingii akilini?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kitunguu msimu wa Kiangazi nyanda za juu kusini

    Iko hivi wadau. Katika kubadilishana mawazo na mdau mmoja, nikampa wazo kwamba baada ya kuvuna mahindi sasa tugeukie kilimo cha mali mbichi hususan Kitunguu maji. Malengo ni kwamba at least mwezi November mzigo unavunwa. Mazingira ya shamba ni safi hivi najiandaa kuvuna mahindi. Maji yapo...
  3. JamiiForums Tanzania Tanapa Nyanda za juu kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji

    Habari iliyopo mezani Tanapa mikoa ya kusini wanasumbua sana wafugaji na kuwageuza sehemu za mitaji
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabadiliko ya ghafla ya kiingilio HIFADHINI bila notisi kwa wadau wa UTALII

    Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums, Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine. - Ikumbukwe tokea Bei za mafuta zipande April Mosi, kuna baadhi ya Hifadhi ya Taifa nayo imepandisha bei ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini wateule wengi wa rais katika mikoa ya nyanda za juu kusini wameachia nafasi zao na kwenda kwenye ubunge?

    Hili suala linatafakarisha. Katika Kanda zote nchini ni Kanda ya nyanda za juu kusini ndio wateule wengi wa Rais wameamua kukimbilia majimboni kugombea ubunge. Nawapa kwa ufupi 1. Mbeya. Mkuu wa Mkoa Juma Homera kaeda Namtumbo Mkurugenzi Jiji Ndg John John Nchimbi kaenda Nyasa na Mkurugenzi...
  6. JamiiForums Tanzania PPAA yaendelea kuwajengea uwezo Wazabuni Nyanda za Juu Kusini kuhusu matumizi ya Moduli

    Katika jitihada za kukabili changamoto za ununuzi wa Umma, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea na zoezi la kuwajengea uwezo wazabuni juu ya matumizi ya Moduli ya kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya kielektroniki katika mfumo (NeST). Katibu Mtendaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania UCSAF: Minara 107 inajengwa nyanda za juu Kusini ili kuboresha upatikanaji wa Mawasiliano kwa wananchi

    Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) nyanda za juu kusini Mhandisi Richard Sotery amesema ujenzi wa minara...
  8. JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wafanyabiashara wa usafiri wa mabasi mlioamua kuiunganisha kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini

    Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote. Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
  9. JamiiForums Tanzania Tutaje maeneo ya Nyanda za Juu Kusini yanayoanza na herufi “I”

    Mimi naanza na Igawa, endelea…
  10. JamiiForums Tanzania Wakati sahihi makabila ya nyanda za juu kusini tunahitaji heshima yetu

    KINGABOY on the wheel.
  11. JamiiForums Tanzania CCM: Ujenzi barabara ya Iringa - Msembe kilometa 104 kufungua fursa Nyanda za Juu Kusini, Ni utapeli Tena?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Kiswaga: Rais Samia ametekeleza ndoto ya Mwalimu Nyerere kujenga barabara ya Iringa-Ruaha NP kwa kiwango cha lami

    Rais Samia ameendelea kuingia kwenye nyoyo za Watanzania hususani Wana Iringa baada ya kutoa Fedha za kuanza Ujenzi wa Barabara ya Iringa-National Park ambayo ilikuwa ni Kilio kikubwa Cha wana Iringa. Ameyasema hayo Leo hii baada ya kushuhudia utiaji Saini wa mkataba wa kuanza ujenzi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makambako inadaiwa ndo katikati ya mikoa ya nyanda za juu kUsini kijiografia

    Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
  14. JamiiForums Tanzania Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

    Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini. 1. Ang’ombwize 2. Alatuhiga 3. Atupele 4. Tulalumba 5. Mwadalihe 6. Ambwene 7. Anzawe 8. Chengula 9. Mgaya 10. Mbilinyi 11. Mwaluhanzo 12. Mwamgeni 13. Mwinuka
  15. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini

    Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini 📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿 Kusini International Trade Fair & Festival 2024 Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini utajiri wa watu wa Nyanda za juu Kusini, huwa hauchechemui watu?

    Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
  18. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika. Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
  19. JamiiForums Tanzania Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi. Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha...
  20. JamiiForums Tanzania Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu. Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…