nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Cute Wife

    DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Wakuu, Fao la Kujitoa kwa waajiriwa lilifutwa toka mwaka 2018 kipindi cha Magufuli ambapo likabadilishwa na kuwa Fao la Kukosa Ajira, kikokotoo kikaingia kazini ambapo mtu akiachishwa kazi au ajira yake kuisha alikuwa anapewa asilimia 33% ya mshahara wako wa mwisho kwa muda wa miezi 6 na baada...
  2. A

    KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
  3. Rick16

    Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

    Habari wakuu. Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi. Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao Je nnaweza nikapata nssf yangu...
  4. Masai wa Town

    Huu Hapa Utapeli wa Serikali ya CCM

    Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa. Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi. Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge...
  5. Masai wa Town

    Je, Naweza Kufungua Madai ya NSSF Online Bila Kufika Ofisini Kwao na Yakakubaliwa?

    Wakuu, Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails. Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao. Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia? Attachment nilizonazo: Certificate of...
  6. Masai wa Town

    Naomba Kufahamishwa Kuhusu Nyaraka Tano Za NSSF

    Naomba kufahamu je, zile nyaraka tano( barua ya kuachishwa, certificate of service na copy ya NSSF ID card)za kuambatanisha kwenye maombi ya mafao ni lazima ziwe na muhuri wa mwanasheria(kuwa certified)!?
  7. bukoba boy

    Bima ya Afya NSSF

    Wadau kwema! Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama nyingine zaidi ya michango.Unapewa list ya hospitali maalum kwenye mkoa husika.
  8. robbyr

    Mateso ya Sekta binafsi ye NSSF wanatunyima mafao yetu

    Tuliofanya kazi sekta binafsi kwa mshahara kidogo na mateso makali na mwisho Mungu akajalia tukapata serikali leo tunajua pesa ya NSSF itakuwa msaada kwetu lakini sheria za hovyo alizopitisha Magufuli tunanyimwa. Naomba serikali ione huruma ili tunaopata kazi serikali tulipwe hiyo pesa ili...
  9. both teams to score-YES

    Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000). Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation...
  10. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  11. T

    Changamoto za mifumo NSSF PORTAL,AJIRA PORTAL, VYETI VYA KUZALIWA, NK

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  12. Myahudi Jr II

    Ushauri kwa wanaotunza pesa za wafanyakazi wa serikali/Binafsi-pesa za kustaafu (NSSF/PSSF)

    Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya...
  13. Fadhili Jr

    Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Nilikuwa nauliza ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSsf ni muda gani itachukua kupata mafao yako.
  14. M

    KERO Kadhia, huduma mbovu na uozo wa watumishi wa NSSF mkoa wa Kinondoni nani alaumiwe?

    Hii Ofisi haijali mtu yeyote si Walemavu, wazee wala wagonjwa ni mwendo wa huduma mbovu tu kwa kila aliyeko mbele yao hata uso wa aibu hakuna, Mambo yao ni ya usaniiusanii ahadi za uongo na kutopokea simu, nimehangaishwa humu hadi najiuliza kama kweli kuna uongozi kwenye hii Ofisi unaofuatilia...
  15. robbyr

    Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  16. N

    Ni mwezi wa pili huu Nssf hawajatoa pesa ya mafao

    Mafao ya asilimia 33.3 hadi sasa ni kitendawili... Je Nssf iliichangia CCM pesa zetu? Kama hamkuchangia CCM, tupeni pesa yetu... Mlinisumbua sana wakati nafuatilia pesa hii... Licha ya kuwaambia kazi niliyokua naifanya sio profesional... Ila mlishindwa kutumia busara kunipa pesa yangu...
  17. Mlume Ndago

    DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  18. A

    KERO NSSF wanakwaza wakati wa madai

    Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu changamoto za maisha halisi hatufanani. Pia namba za huduma kwa wateja hazipokelewi kabisa zaidi ya...
  19. C

    Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  20. Benson Mramba

    Hili la Rais kuvunja bodi ya NSSF wakati muda wake unaisha ni salama kweli?

    Naomba nisaidiwe kama sielewi. Leo tarehe 03 August ndio bunge limekoma bila shaka automatically na Rais nae anakuwa amemaliza muda wake. Nakumbuka zamani kipindi kama hiki nchi ilikuwa inabaki chini ya Jaji Mkuu hadi uchaguzi upite apatikane Rais mwingine lakini wakati wa Mzee JK kulikuwa na...
Back
Top Bottom