nrne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  2. Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

    Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
  3. A

    Maana Halisi ya NRNE (No Reform No Election)

    Kume kuwa na tafsiri potofu ya baadhi ya watu kwamba NRNE ni Ku hamasisha uvunjifu wa Amani, wakati No Reform No Election, maana yake Halisi ni kwamba uchaguzi unaofanyika katika mazingira yakuto kutoa nafasi sawa kwa wengine ni sasa Sawa na kutokuwepo Kwa uchaguzi. Wahusika wajitafakari na...
  4. H

    Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

    Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
  5. Watumishi wa UMMA waliogombea nafasi za ubunge CCM, waunga mkono NRNE

    Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
  6. B

    Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

    Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari...
  7. GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi. Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
  8. R

    ACT sawa yawapate, Chadema ikisema NO REFORMS NO ELECTION mnakuja na TUTALINDA KURA badala ya kuunganisha nguvu za NRNE

    Kukiwa na reforms wanazozipigania CHADEMA, haya yote yasingelikuwepo! Badala ya kuunganisha nguvu, mnaleta mzaha wa ujinga wa tutalinda kura. ngoja kiwapate, safi kabisa. AU mnacheza mchezo huu na wadau wenu kuhalalisha Samia kutokuwa na mpinzania!
  9. CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  10. K

    Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
  11. GE2025 Kamanda Muliro: Kama sheria haijakataza NRNE, basi imeruhusu NRNE

    Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA. Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni...
  12. B

    NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

    Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa! Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben...
  13. GE2025 No Reform No Election ya CHADEMA ni Kusubiri Meli Airport Kipawa

    Kauli ya “No Reform No Election” iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekuwa gumzo kubwa kwenye medani za siasa za Tanzania. Wafuasi wake wanasema ni msimamo thabiti wa kudai mabadiliko ya msingi kwenye mfumo wa uchaguzi kabla ya kushiriki tena kwenye chaguzi zijazo. Hata...
  14. GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

    Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026. Ratiba imetoka hiyo...
  15. Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  16. M

    CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

    Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
  17. Kauli ya "Tutasimamisha uchaguzi" Ilionekana Kama NDOTO YA MCHANA, Ila Dalili Sasa ni Kweli NRNE Kutimia

    Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima reforms za muhimu zitafanyika. Sasa tunajiuliza, wale waliokuwa wana mkebehi Lissu, Heche na chama...
  18. Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  19. R

    Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  20. Wazee Moshi Kilimanjaro Waielewa NRNE

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…