noah

In Abrahamic religions, Noah ( NOH-ə) was the tenth and last of the pre-Flood patriarchs. His story is contained in the Hebrew Bible, in the Book of Genesis, chapters 5–9 and in the Qur'an. The Genesis flood narrative is among the best-known stories of the Bible. Noah is also portrayed as "the first tiller of the soil" and the inventor of wine.
According to the Genesis account, Noah labored faithfully to build the Ark at God's command, ultimately saving not only his own family, but mankind itself and all land animals, from extinction during the Flood. Afterwards, God made a covenant with him and promised never again to destroy all the earth's creatures with a flood. The flood narrative is followed by the story of the Curse of Ham.
In addition to the Book of Genesis, Noah is mentioned in the Hebrew Bible in the First Book of Chronicles, and the books of Tobit, Wisdom, Sirach, Isaiah, Ezekiel, 2 Esdras, 4 Maccabees; in the New Testament, he is mentioned in the gospels of Matthew, and Luke, the Epistle to the Hebrews, 1st Peter and 2nd Peter. Noah was the subject of much elaboration in the literature of later Abrahamic religions, including the Quran (Surahs 71, 7, 1, and 21).

View More On Wikipedia.org
  1. Arusha: Sita wafariki ajali ya Lori, Noah

    Watu sita wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali ya gari baada ya Toyota Noah kugongana na Lori aina ya Scania katika eneo la Alkatani, Kata ya Sepeko, Tarafa ya Kisongo Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha usiku wa kuamkia leo Aprili 20, 2022. Ajali hiyo imetokea katika...
  2. Inahitajika Toyota Noah new model

    Nahitaji Toyota Noah New Model ambayo haijawahi pata ajali, isiwe inadaiwa, isiwe imesha funguliwa gearbox. Namba iwe C a D Bajeti yangu mil6-6.9
  3. Car4Sale Toyota Noah Roadtour namba C au D inahitajika

    Kuna mtu anahitaji Toyota Noah, roadtour yenye namba C au D. Ana kianzio cha shilingi mil tano, nyingine atamalizia baadae. Kama unayo au kuna mtu anayo anataka kuisukuma, tafadhali, weka namba zako hapa, utapigiwa simu.
  4. T

    Nina Noah, ni biashara gani niweze kufanya?

    Habar wakuu, kuna gari Aina ya noah zile za zamani, Sasa najiuliza ni biashara gani niweze kufanya ili niweze kupata pesa kwa kutumia hii gari... Kumbuka kwa usafiri kwa hapa Dar es salaam imekatazwa...naombeni mawazo yenu wakuu, na mungu atawabariki.., au kama kuna connection yoyote ile ya...
  5. Kwa wauzaji wa IST, Vitz, Noah

    Habari wakuu Sikuizi naona IST na Vitz nyingi Sana sinauzwa mitaani.. Nina idea ya Biashara kidogo Idea yenyewe ni hivi Natafuta watu 5-10 , Ambao tutaandikishana mkataba , ambapo baada ya kuuza gari, ulete gari yako tukufanyie kazi kwa muda wa miaka miwili (2). Kwa miaka 2, kila siku...
  6. Car4Sale Toyota Noah inauzwa

    Toyota Noah Category: Station Wagons Transmission: Automatic Colour: Gold Engine 1998cc Fuel: Petrol Mileage: 200000km Year of manufacture 2001 Condition: Used for 4year Price: Tshs.Mil.11,500,000/= Haina tatizo,njoo na fundi wako akague. Maongezi yapo Call#0652563680
  7. Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    toyota noah Bei:8,850,000 Mwaka: 2003 Aina ya Mafuta: petrol Umbali: km 116,003 Injini 1998 Transmission: automatic ,,,,,,,vimelipiwa vibali ac inafanya kazi vizuri na redio ipo powa Linapatikana ,,,,,,,,Kaliakoo Dar es salaam 0755984282
  8. Ukiacha body Toyota Noah nini kingine shida?

    Hizi Toyota Noah za namna hii watu wamekuwa wakilalamika sana kuhusu body yake kuwa si imara. Actually hii ni gari ya mizunguko ya town si ya kwendea shamba. Ukiacha malalamiko ya kuwa Body yake ni nyanya nini kingine tatizo kwa gari hii? Kuna ndugu yangu anataka inunua kama gari ya family...
  9. Toyota Noah Old Model, 4doors, ipi ni nzuri kwa kupiga ruti za mikoani to Dar

    wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk, Sr40, Sr 50, Ipi ni nzuri kwa uimara, kusevu mafuta, uvumilivu kwenye ruti ndefu. Nawasilisha.
  10. TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

    Kwa masikitiko makubwa sana Ndugu yetu Wakili Msomi Geofrey Noah amefariki dunia leo hii jijini Arusha kwa tatizo la upumuaji. Mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani. Amina. Wakili Noah(Kulia) enzi za uhai wake akiwa na Wakili Olengurumwa Wakili Noah enzi za uhai wake
  11. Car4Sale Noah namba D kwa bei Chee

    Nakusogeze gari hii kwa bei poa sana Noah namba D kwa 5.5 million bila udalali Gari ina Kadi yake Low mileage Njoo magomeni Dar uikague Nipigie 0744033555
  12. Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

    Gari ni Auto Gear Gear box na Engine vyote viko vizuri. Mchungaji kasema niiuze kwa 5.6mil tu. Location: magomeni makuti, Dar Piga simu mapema 0744033555
  13. L

    Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  14. Ajali ya Lori na Noah yaua watano na kujeruhi wawili Dodoma

    Watu 5 wamefariki 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma. Watu watano (5)wamepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajili ya Leo katika eneo la...
  15. Nahitaji Noah ya mkataba

    Habari ndugu zangu, Nahitaji gari aina ya Noah ya mkataba wa mauziano usiopungua miezi 6 yenye hali nzuri na iwe yenye namba kuanzia B au C na isizidi milioni 6 miezi ya mkataba ukiisha ndipo nakabidhiwa hatimiliki za gari. Naombeni msaada kwa hili. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…