Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu
No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu
Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...