The Constitutional Reform Act 2005 (c. 4) is an Act of the Parliament of the United Kingdom, relevant to UK constitutional law. It provides for a Supreme Court of the United Kingdom to take over the previous appellate jurisdiction of the Law Lords as well as some powers of the Judicial Committee of the Privy Council, and removed the functions of Speaker of the House of Lords and Head of the Judiciary of England and Wales from the office of Lord Chancellor.
Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani.
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA...
Tanzania haikuwa na reform wala uchaguzi.
No reform no election kwa namna hivyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.
Mliokuwa mnauliza itatekelezwa vipi sasa jibu ni Watanzania wenyewe watachukuwa nchi yao kwa amani au kwa damu.
Huyu Mama amekaa kama mdoli hata hajui analofanya
Anayebisha...
Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani?
Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani?
Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform?
Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi?
Je itawapata...
Kume kuwa na tafsiri potofu ya baadhi ya watu kwamba NRNE ni Ku hamasisha uvunjifu wa Amani, wakati No Reform No Election, maana yake Halisi ni kwamba uchaguzi unaofanyika katika mazingira yakuto kutoa nafasi sawa kwa wengine ni sasa Sawa na kutokuwepo Kwa uchaguzi. Wahusika wajitafakari na...
Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS
Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.
Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.
Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha...
Nimewasikiliza viongozi wa kiislamu kadhaa kuanzia Nurdin Kishki, Mazinge, Sule na wengineo wengi ambao sio maarufu .
Cha ajabu hakuna ninayemsikia akisapoti suala la No reform No election, hakuna anayepiga kelele suala zima la utekaji na muenendo wa serikali kiujumla badala yake wamekuwa ni...
Ni miaka mingi kumekuwa na kilio cha kufanyiwa mabadiliko ya tume ya uchaguzi ila mwaka jana baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema kama chama cha upinzani chini ya mwenyekiti freeman mbowe kwa pamoja waliazimia kuwe na mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi na wakaja na no reform no...
Imefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki.
Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa wanajua Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani.
Hiyo siku ya uchaguzi hata watu wakikaa nyumbani...
Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu
Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa
Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
noreformnoelection
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
"Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms.
Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu sasa tuwaoneshe kwa vitendo kuwa hatuendi kupiga kura siku hiyo waliyoipanga.
Dhulma imezidi na...
Huu utabiri uliyolewa na Hayati JKN
CCM imejaa mabwanyenye. Wameshiba. Wanajiamulia wanavyotaka.
Wanyonge wanataka mabdiliko kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025
Sio mbaya ukiahirishwa hata kwa mwaka lakini tupate Katiba mpya.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema chama hicho kilifanya mashauriano ya kina na makundi mbalimbali ya kijamii kabla ya kuanza kampeni za mikutano ya hadhara ya viongozi wake wakuu, na matokeo yake yameonesha uungwaji mkono mkubwa...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ikiendelea kuunguruma mahakamani, @khaan_mbarouk ametaka kujua muktadha mzima wa kesi ambapo mkutubi @farhankihamu_jr ameamua kumrudisha kwenye historia ya kudai mabadiliko hadi TANU kushiriki uchaguzi mkuu wa kwanza Tanganyika.