njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Oleshangay: Kuna watu wanataka Kuvunja Chama ili kumtengenezea Samia Njia Nyeupe Ya Ikulu

    Anaandika Wakili Joseph oleshangay freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya freemanmbowetz , suluhuSamia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na maridhiano wakapewa ruzuku. Ila...
  2. JamiiForums Tanzania Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

    Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni wazi CHADEMA sasa imegawanyika, kuirudisha kuwa pamoja ni Mbowe kutogombea uenyekiti tu

    Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA na anamuunga mkono Mbowe kuwa mwenyekiti! Katika hili jambo kama ni kweli ni baya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  6. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  7. JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  8. JamiiForums Tanzania Tuliofanikiwa kwa michongo hatari baada ya kuona hakuna njia ya kutoboa

    Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanapoona ukuta wewe ona njia

    WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
  10. JamiiForums Tanzania Njia panda Ajira na utajiri wa kijini

    Mtaalamu anatoa mkataba na jini wa kuwa tajiri Pia anaweza kukupa mkataba na jini akakutafutia Ajira serikalini Kipi bora wakuu hapo
  11. JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  12. JamiiForums Tanzania Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

    Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi. Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni Kwa mahojiano zaidi. -- Polisi mkoani Njombe inamshikilia Baltazari Sonyonda (33) mkazi wa Kijiji...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  14. JamiiForums Tanzania Uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mfumo mpya wa Kieletroniki itabaki story!

    Nawasilisha hii hoja nikiwa na nia njema. Kama kuna mwenye update atoe ushirikiano ili tufahamu ni lini huu mfumo utaanza kutoa huduma hasa katika kipengele cha Uhamisho.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari. Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama. Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio aliyeolewa tayari afu utakuta huko anaishi na mtoto wako au mtoto unaishi naye sometimes mtoto atataka...
  16. JamiiForums Tanzania Njia ya kulinda Mali yako. usipoteze kwa kigezo cha Ndoa au Mapenzi

    Kama umepambana na una Mali nyingi usioe. Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu. Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia. Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake. Inamaana hata huyo mwanamke...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vikindu: Barabara inayotumiwa na wakazi wa Njia Nne, Kilongoni na Mwema ni mbovu sana, ifanyiwe ukarabati

    Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita. Ikitokea una dharura kama...
  18. JamiiForums Tanzania Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ujenzi wa Njia Nne Bukoba unasuasua, Mamlaka hazifahamu barabara hiyo ndio mlango wa uchumi wa Mji?

    Oktoba 28, 2023, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera alielekeza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) - Kagera kumsimamia Mkandarasi M/s Abemulo Contractors Ltd afanye kazi usiku na mchana ya ujenzi wa upanuzi wa njia nne wa Barabara ya Bukoba...
  20. JamiiForums Tanzania Hasa Vijana acheni uvivu, Njia ya mafanikio..

    We talk about Gift. au Talanta kila Mtu anayo ya kwake... Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa syllabus ni wengi sana. Sasa mbinu ya kujikwamua ni hii... Angalia wewe unaweza sana Kitu gani, alafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…