Huku wakivuta hewa safi na kusikiliza milio ya ndege.
Wanakuwepo mjini kwa ajili ya majukumu tu, na ikifika mida ya jioni wanarejea kwenye makazi yao nje ya mji.
Wenye akili ndogo watapambana kuishi mjini kwenye makelele mengi mpaka yanatikisa ubongo wa vichwa, makazi yao yakiwa kwenye eneo...