nitasema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Niliwahi sema na nitasema daima, Huwezi kua mwenye AKILI alafu ukawa MwanaCCM!! Haiwezekani kabisa !!

    Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣 Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nijue kama muda alokaa Lissu jela umeshafikia ule aliokaa Mbowe halafu nitasema kitu

    Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

    Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
Back
Top Bottom