Habari ya asbuhi wajumbe.
Ninahitaji Nissan Dualis kaliii nzuri na isiyo na shida. Budget iliyopo ni 12.5M. Kama itakuwa moja kwa moja toka kwa mwenye gari itakuwa vema zaidi lakini hata kama itapitia kwa dalali basi awe wazi kujitambulisha kama dalali.
Kama unayo tafadhali nicheki ili tuje...