nishati safi ya kupikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    REA yaendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa nishati safi ya kupikia

    REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Majiko banifu 4,836 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Njombe 📌 Jiko moja kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS 8,850 tu . 📌 Kila walaya kupata majiko 1,209 📍 NJOMBE Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Judica...
  2. PendoLyimo

    Waziri Mkuu: Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia

    WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini 📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia Ataja faida za...
  3. BigTall

    Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  4. Roving Journalist

    Florian Haule: Nishati safi ya kupikia suluhu kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi

    Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo umetolewa leo Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Florian Haule wakati wa ugawaji wa mitungi ya gesi ya...
  5. Roving Journalist

    Mjiolojia Nsajigwa Maclean: Tukitumia Nishati Safi Ya Kupikia Tutaokoa Hekta 400,000 Za Misitu Zinazoteketea Kwa Mwaka

    Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, jambo linalochangia kuongezeka kwa ukame na...
  6. Roving Journalist

    Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  7. PendoLyimo

    REA yazidi kuhamasisha nishati safi, yatoa bilioni 4.37 kwa jeshi la kujenga taifa

    REA YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA BILIONI 4.37 KWA JESHI LA KUJENGA TAIFA 📌JKT yaipongeza REA utekelezaji wa miradi ya nishati safi 📌REA yaiwezesha JKT asilimia 76 ya miradi ya nishati safi 📌Watumishi 7,000 wa JKT kupatiwa Mtungi wa kilo 15 wa LPG pamoja na Jiko lake la sahani mbili...
  8. Roving Journalist

    Dkt. Kazungu: Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya Dunia, Wizara inaitekeleza kwa vitendo

    Naibu katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati Jadidifu, Dkt Khatibu Kazungu leo 04 Julai, 2025 amepokea magari mawili yatakayotumika kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia chini ya kampeni ya nishati safi...
  9. PendoLyimo

    SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia

    SADC YAITAJA TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika 📌 Mhe. Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya SADC 📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati...
  10. PendoLyimo

    PreGE2025 Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa magereza Arusha, awagawia mitungi 528

    RAIS SAMIA AMEWEKA ALAMA KWA WATUMISHI WA MAGEREZA ARUSHA, AWAGAWIA MITUNGI 528 📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528...
  11. chuchu2020

    Dkt. Biteko azindua mkakati wa taifa wa mawasiliano wa nishati safi ya kupikia

    DKT. BITEKO AZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MAWASILIANO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 📌 Aagiza usiishie kwenye makabati; ukatekelezwa katika ngazi zote za Serikali/Wadau 📌 Atoa wito kwa vyombo vya Habari kuwa mstari wa mbele uhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia 📌 Asema Ajenda ya Rais Samia...
  12. PendoLyimo

    Dkt. Biteko: Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kufikia 75% mwaka 2030

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO 📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini 📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake 📌 Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati...
  13. J

    Nishati safi ya kupikia briquesttes zinauzwa

    JIKOPOWER tunazalisha mbadala wa kuni na mkaa (briquettes) kwa ajili ya kupikia. Tunaita "Kuni Rafiki", zinafaa hasa kwa matumizi ya shule, viwanda, biashara za kupika chakula na majumbani pia. Kiwanda kiko Bagamoyo ila tunauza popote TZ. Majiko makubwa tunatengeneza pia. Ni nafuu sana kwa...
  14. Nipe Maji

    Serikali yaagiza magereza kupewa ruzuku ya nishati safi ya kupikia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameilekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoa ruzuku kwa Jeshi la Magereza ili kutekeleza maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia na kuhakikisha Magereza yote yanaondokana na Nishati isiyo safi.
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mama lishe Arusha wamshukuru rais Samia kwa kuwapa nishati safi ya kupikia

    Wanawake wajasiriamali kutoka Mkoani Arusha wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa Mitungi ya gesi takribani 1,000 iliyogaiwa bure kwa wajasiriamali wa chakula Mkoani Arusha, wakisema matumizi ya nishati safi hiyo yamekuwa na manufaa makubwa kwao. Kupata matukio na taarifa...
  16. Just Pray

    Mariam Migomba alamba ubalozi kuunga mkono kampeni ya nishati safi ya kupikia

    Wakuu Katika kuunga mkono juhudi kampeni ya kuhakikisha watanzania wanatumia nishati safi na kuachana na matumizi ya mkaa, kampuni ya Alka Charcoal imeunga mkono juhudi hizo kwa kuzalisha mkaa ambao unatokana na mabaki ya nazi. Sambamba na hilo kampuni hiyo imemtambulisha Mariam wa Migomba...
  17. Ojuolegbha

    PreGE2025 Rais Samia: Serikali kupitia REA imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya kupikia, majiko ya gesi na majiko ya umeme

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya kupikia, majiko ya gesi na majiko ya umeme ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya...
  18. milele amina

    PreGE2025 Ajenda ya Nishati Safi na Mitungi ya Gasi: Changamoto na Matarajio kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Katika muktadha wa maendeleo ya nishati safi, kuna haja ya kuangazia jinsi mitungi midogo ya gesi inavyotolewa kama sehemu ya ajenda hii. Ingawa nia inaweza kuwa ya kutoa suluhu kwa changamoto za nishati, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri hatima ya ajenda...
  19. L

    Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote. Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
  20. PathwayzZote

    Ipi ni bora kati ya Jiko la gas na jiko la Umeme kwa sababu za kiuchumi?

    To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya nyumbani ?? Wajuzi mtupe majibu apa Ipi bora kiuchumi wetu Assume umeme hujakatika🙌🏼
Back
Top Bottom