nimeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wenzangu wananifanyia figisu nifukuzwe kazi

    Habarizenu humu! Baada ya salamu,naomba niwasilishe changamoto ilionifanya niandike leo, mimi nimuajiriwa kwenye organization ABC, kwa bahati mbaya bado sijakabidhiwa kazi rasmi yaani nipo kwenye kipindi Cha mafunzo, shida iko hapa. Eneo lakazi nimekuta wafanyakazi wazoefu tu was muda, Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania CAFCC: Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki

    Kwa wiki nyingine Goli la mchezaji kinda wa Simba Sports Club, Pape Ousmane Sakho linakuwa goli la wiki Skill Pace Finish 100%
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

    ....
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna 'Foreigner' Mmoja kaniuliza hili Swali, ila nimeshindwa Kumjibu lakini najua nyie 'Great Thinkers' mtamjibu vyema ili 'nimtafsirie' hapa tulipo

    GENTAMYCINE hivi ni kwanini Siku hizi hapa Kwenu nchini Tanzania kila kukiwa tu na Shughuli ya Kitaifa Uhuru au Muungano au Mapinduzi mnapenda mno Kuwaonyesha Makomandoo wenu wakifanya Mambo ya Kimedani? Hii ina faida gani hasa kwa Watanzania wengi wasio na uhakika wa hata Maisha yao na...
  7. JamiiForums Tanzania Ikiwa nadaiwa mkopo na nikakiri nimeshindwa kulipa ni hatua gani naweza kuchukuliwa?

    Mtu ambaye amepitia struggle ya kudaiwa kiwango cha pesa ambacho kipo nje ya uwezo wake atakuwa ashaelewa nini namaanisha. Mfano unafanya kazi unalipwa 500,000/= per month una madeni sehemu tofauti lakini Total ya madeni yako ni 10,000,000/= ikumbukwe kwamba kwenye hayo madeni kuna madeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…